Chadema yaitisha tena Tone Tone Makao Makuu Mikocheni Tarehe 14/03/2025

Hakuna haja ya Kuchoka hadi Shetani Atokomezwe, na hii ni nafasi kwa wewe ambaye hukubahatika kushiriki mchakato wa mwanzo, Usikose

Taarifa zaidi hii hapa

View attachment 3269170
Nimejaribu kuweka hela kwenye NIMO naona haikubali kwenda. Cdm angalieni mnahujumiwa na makampuni ya simu kwa maagizo ya ccm na dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…