digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Weka namba tuchangie,Niko pamoja nanyi katika kuhakikisha tunapata katiba Bora ambayo itakuwa na masrahi si tu Kwa CCM Wala chadema Bali Kwa vizazi vijavyo.
Pia naunga mkono hoja ya no reform no election
Pia naunga mkono hoja ya no reform no election