Mjane wa Marehemu Ngosha.Kilwa kivinje iliyokuwa ngome kuu ya Act wazalendo sasa ni Chadema tupu.
Ikumbukwe mpaka sasa kila inakoenda kufanya mikutano yake Chadema inapata uungwaji mkono na wananchi kwa asilimia mia👇
View attachment 3600637View attachment 3600638
Umepiga bonge la U-turn