N narogo JF-Expert Member Joined Aug 25, 2021 Posts 5,450 Reaction score 4,774 Jun 4, 2026 #21 Idugunde said: Kilwa kivinje iliyokuwa ngome kuu ya Act wazalendo sasa ni Chadema tupu. Ikumbukwe mpaka sasa kila inakoenda kufanya mikutano yake Chadema inapata uungwaji mkono na wananchi kwa asilimia mia👇 View attachment 3600637View attachment 3600638 Click to expand... Mjane wa Marehemu Ngosha. Umepiga bonge la U-turn
Idugunde said: Kilwa kivinje iliyokuwa ngome kuu ya Act wazalendo sasa ni Chadema tupu. Ikumbukwe mpaka sasa kila inakoenda kufanya mikutano yake Chadema inapata uungwaji mkono na wananchi kwa asilimia mia👇 View attachment 3600637View attachment 3600638 Click to expand... Mjane wa Marehemu Ngosha. Umepiga bonge la U-turn
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jun 4, 2026 #22 Idugunde said: Ikumbukwe mpaka sasa kila inakoenda kufanya mikutano yake Chadema inapata uungwaji mkono na wananchi kwa asilimia mia👇 Click to expand... Sahihi, Nadhani ni kwa sababu ya taarifa huria zama hizi, wananchi hawadanganyiki tena
Idugunde said: Ikumbukwe mpaka sasa kila inakoenda kufanya mikutano yake Chadema inapata uungwaji mkono na wananchi kwa asilimia mia👇 Click to expand... Sahihi, Nadhani ni kwa sababu ya taarifa huria zama hizi, wananchi hawadanganyiki tena
D dos.2020 Platinum Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,866 Reaction score 12,613 Jun 5, 2026 #23 Munateseka sana na ACT
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jun 6, 2026 #24 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw