PreGE2025 CHADEMA yakamata mtandao, CCM yangu hoi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mitandao haipigi kura
Kamuulize Ruto kilichomkuta kutoka kwa Gen z kilianzia wapi. Akikujibu, uwqnong'oneze ccm kuwa mitandao hupiga kura! Na Kama haipigi kura, ni kwani Magufuli aliifungia kabla ya uchaguzi wa 2020? Au ulikuwq hujazaliwa?
 
Mitandao ya bongo hakuna mambo ya maana yanayojadiliwa.sana sana ni umbea, na ubishi wa simba na yanga.Ata hizo mada za chadema nyingi ni malalamiko porojo na malumbano ambayo hayawezi kusaidia sana kwenye harakati zaidi ya umaarufu ambao haukusadii kwenye meza ya mabadiliko.Mitandao ingekua na uzito kama kungekua mijadala na mada nzito zinazokuza uelewa.Ata hapa JF zile mada nkonki siku hizi hazipo.
 
People are changing
 
CCM imekamata ushindi
 
Kwa hiyo ni kweli CCM kukaa kote madarakani bado wananchi wamekwa miaka 40 ya CCM madrakani
Mikwamo ya kiuchumi kubadilika badilika na kwa kulitambua hilo ndiyo maana CCM dhana yake kupindua mikwamo hii, kuwa furusa ya kuwakwamua wananchi, kimekuwa kikija na njia za kimapinduzi kukabili mikwamo hii. Njia hizo uanishwa ndani ya Ilani za uchaguzi za Chama hicho, sera, mikakati, na taratibu kupitia serikali inayoongozwa na Chama hicho. Mifano ipo mingi nitataja mmoja.

Mfano huo ni huu, Kutokana na changamoto za kiuchumi zikizolikabili Taifa Chama kiliagiza serikali kuwepo na Kodi ya kichwa kwa Kila mtu Mzima pamoja na Kodi ya baiskeli. Kodi hizi zilisaidia lakini zilikumbana na changamoto, CCM ikatumia mbinu ya kisasa na kuondoka Kodi hizo za kichwa na baiskeli na kuleta VAT, Kodi ambayo ilikuwa Haina adha kw mtu...na kwa umuhimu wa VAT bado mbinu hii ipo na inazidi kuboreshwa.

Sasa kama Kuna Chama kingine kina mbinu mbadala kukabili mikwamo tajwa kiiweke wazi mbinu hizo tuzikague kwanza kabla ya kukiamini. Hatuwezi kukubali kuuziwa "mbuzi akiwa ndani ya gunia".

Upo? Au umekimbia? Ha ha 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…