Binafsi ninajaribu kulifikiri hili kwa maana hii....
Chadema ni chama halali..
Kiko kisheria...kinatambulika na katiba ya nchi....
Hizi "mentality" za kuona vyama vya upinzani ni "scums" na "harmful bacteria" zinatoka wapi ?!!!
Na kwa upande wa CHADEMA...kwa kuwa wako kikatiba basi hatugemei wao kuchepuka(astray) kwa kusahau lengo la wao na wenzao kuwepo....
Kwa utulivu na usalama wa nchi ni lazima kuwe na "balance"....
Kukosekana huko ni kujitia katika NAKAMA...kuanzia KIFIKRA ,KIURITHI na baadaye kufikia mahala pabaya ambapo kutoka ni MAJUTO....
CCM kama chama tawala ,pamoja na kuwa na 10D's kisiasa ni lazima waendelee kuwekeza katika "think tanking" ambayo ina "balance" kubwa mno haswa katika kizazi hiki cha TEHAMA na "akili mnemba"....
"Think tanks" hao ni lazima waijue vyema CCM na malengo yale ya 1977 kwa rejea ya historia kuntu ya malengo ya 1954 na nyuma ya 1922 na uwiano wa kizazi chetu hichi cha sasa......
Malengo ya nchi ni makubwa zaidi ya CCM na wenzao akina CHADEMA.....
#Nchi Kwanza[emoji7]
#Chifu Hangaya ni mboni yetu [emoji7]