Harafu kuna mtu eti anasema CCM ni chama cha amani.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini kimelaani vikali kitendo cha uvamizi na uharibifu katika ofisi ya chama hicho Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro, usiku wa kuamkia tarehe 20 Oktoba 2026.
Hawa UVCCM baada ya kuumbuliwa kudai rushwa wanataka kumalizia hasira zao kwenye ofisi za Chadema.
View attachment 3694455
Chama Cha Majambazi CCMChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini kimelaani vikali kitendo cha uvamizi na uharibifu katika ofisi ya chama hicho Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro, usiku wa kuamkia tarehe 20 Oktoba 2026.
Hawa UVCCM baada ya kuumbuliwa kudai rushwa wanataka kumalizia hasira zao kwenye ofisi za Chadema.
View attachment 3694455
Leo CHADEMA wakivunja ofisi ya CCM kila mtu atawaona ni watu wa fujo sana. Lakini kwa CCM watu watakaa kimya 29/10 nitaandamana kwa amani lakini niko full loaded! CCM akikaa vibaya aisee walai napita naeHarafu kuna mtu eti anasema CCM ni chama cha amani.
Subirini 29/10 tunakiwasha balaa. Noma na iwe noma.
Mimi CCM nawaona ni chama cha majambazi. Wapo madarakani wapo hivi, wakitolewa madarakani tutalala kweli?. CCM wana kila kitu Ofisi nzuri nk, Lakini bado wanaonea wivu vijifrem vya chadema. CCM ni zaidi ya Wachawi.Harafu kuna mtu eti anasema CCM ni chama cha amani.
Subirini 29/10 tunakiwasha balaa. Noma na iwe noma.