The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Japo ni vigumu sana kuwaamini hawa vijana. Wengi wananunulika kwa urahisi sana kama wale wapuuzi wa chauma.Yupo vizuri sana huyu
Msajili ni mpumbavu sana. Anafikiri anaweza kuua itikadi za moyoni? Unaweza kupiga moto ofisi zote za chadema ukifikiri umemaliza kazi ya kuua chama. Lakini itikadi huwa haifi. Inadumu.Msajili utasikia anasema sijawapa kibali kumteua ๐๐๐๐
Kwa wateule wa CCM uwa haoni cha kuuliza kabisaaaahhh
Nyumbu wanachaguwanaTAARIFA KWA UMMAKurugenzi ya Habari na Uenezi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inautaarifu umma kuwa Bw. Gerva Bernard Lyenda ameteuliwa kuwa Mkuu wa Idara ya Habari wa Kurugenzi hii kuanzia leo, tarehe 25 Agosti 2025.
Imetolewa leo Jumatatu, 25 Agosti 2025
Brenca Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
View attachment 3452520
Wanasiasa sio wa kuaminiwa sanaJapo ni vigumu sana kuwaamini hawa vijana. Wengi wananunulika kwa urahisi sana kama wale wapuuzi wa chauma.
Nyumbu wanachaguwana,nyumbu wanachekesha sana.Msajili ni mpumbavu sana. Anafikiri anaweza kuua itikadi za moyoni? Unaweza kupiga moto ofisi zote za chadema ukifikiri umemaliza kazi ya kuua chama. Lakini itikadi huwa haifi. Inadumu.
Ndo mana bob hayupo duniani na watu bado wanasikiliza nyimbo zake wengine hata lugha hawaielewi lakini nyimbo za bob wanasikiliza, kucheza na kuimba!
Inahitaji fikra kidog
Unaweza kuta KitengoHuyu Brenda Rupia ni very smart. Sijui kisomo chake lakini huyu Binti ni smart na ataifikisha CHADEMA mbali.
Tulia we ๐Nyumbu wanachaguwana
Ila ๐๐๐Nyumbu wanachaguwana
JUA ni Kali Sana huko CHADEMA kwa sasa. Lakini ipo siku watakuja wakae kivulini. Na wale waliopo kivulini sasa JUA litakuja kuwa kali kwao siku moja.Safi sana
Huyu Brenda Rupia ni very smart. Sijui kisomo chake lakini huyu Binti ni smart na ataifikisha CHADEMA mbali.
[/QUOTE
siku zote CHADEMA imekuwa na watu smart sana.