Konda wa bajaj
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 935
- 1,485
Ni kweli huyo jamaa ni......Tulia we 🌈
Ni kweli huyo jamaa ni......Tulia we 🌈
Hivi cheo chake kina tofauti na kile cha Kamanda wenu Brenda Rupia?TAARIFA KWA UMMAKurugenzi ya Habari na Uenezi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inautaarifu umma kuwa Bw. Gerva Bernard Lyenda ameteuliwa kuwa Mkuu wa Idara ya Habari wa Kurugenzi hii kuanzia leo, tarehe 25 Agosti 2025.
Imetolewa leo Jumatatu, 25 Agosti 2025
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
View attachment 3452520
Chadema kwa repetition hamjambo mivyeo kibao majukumu yaleyaleHuyu Brenda Rupia ni very smart. Sijui kisomo chake lakini huyu Binti ni smart na ataifikisha CHADEMA mbali.
Hata mimi nashangaaHivi cheo chake kina tofauti na kile cha Kamanda wenu Brenda Rupia?
CHADEMA si ipo korokoroni ama?TAARIFA KWA UMMAKurugenzi ya Habari na Uenezi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inautaarifu umma kuwa Bw. Gerva Bernard Lyenda ameteuliwa kuwa Mkuu wa Idara ya Habari wa Kurugenzi hii kuanzia leo, tarehe 25 Agosti 2025.
Imetolewa leo Jumatatu, 25 Agosti 2025
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
View attachment 3452520
Muda mrefu tu mbona.Ni kweli huyo jamaa ni......
Sifa moja wapo wa wanyama hao ni kwamba, wao ndio wengi zaidi popote pale penye hifadhi za taifa, hii inaapia pia kwa WatanzaniaNyumbu wanachaguwana
Naomba kujua nini tofauti ya nafasi yake na nafasi ya Brenda Rupia ?Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa Duniani kote hii hapa
View attachment 3452564View attachment 3452565
Ila chadema ni habari nyingine yani mwenyekiti yuko ndani ila chama kinaenda bila shidaTAARIFA KWA UMMAKurugenzi ya Habari na Uenezi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inautaarifu umma kuwa Bw. Gerva Bernard Lyenda ameteuliwa kuwa Mkuu wa Idara ya Habari wa Kurugenzi hii kuanzia leo, tarehe 25 Agosti 2025.
Imetolewa leo Jumatatu, 25 Agosti 2025
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
View attachment 3452520