CHADEMA yamteua Gerva Bernard Lyenda kuwa mkuu wa Idara ya Habari

Hivi cheo chake kina tofauti na kile cha Kamanda wenu Brenda Rupia?
 
Huyu Brenda Rupia ni very smart. Sijui kisomo chake lakini huyu Binti ni smart na ataifikisha CHADEMA mbali.
Chadema kwa repetition hamjambo mivyeo kibao majukumu yaleyale

Sasa kuna tofauti kimajukumu kati ya aliyeteuliwa na huyo mkurugenzi aliyesaini hiyo barua ya taarifa ujinga.mtupu
 
CHADEMA si ipo korokoroni ama?
 
Tofauti ya Brenda na Gervas ni nini? Au Brenda kaondolewa?
 
Ila chadema ni habari nyingine yani mwenyekiti yuko ndani ila chama kinaenda bila shida
Asante Mungu kwa mh Heche ,asante Mungu kwa mh lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…