CHADEMA Yamteua Shija Shibeshi Kuwa Kaimu Katibu wa Kanda ya Kusini

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuutaarifu umma kuwa Sekretarieti ya Chama iliyoketi tarehe 10 Juni 2026 kwa mamlaka iliyoikasimisha na Kamati Kuu, imemteua Ndugu Shija Shibeshi kukaimu nafasi ya Katibu wa Kanda ya Kusini yenye mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.

Ndugu Shibeshi ameanza kutekeleza majukumu yake tangu tarehe ya uamuzi huu.

Chama kinamtakia kila la heri na kinaomba Ndugu Shibeshi apewe ushirikiano katika kutekeleza majukumu yake haya mapya.

Screenshot 2026-06-17 211638.png
 
View attachment 3610084
Nikikumbuka Ile sekretarieti ya zamani nabaki nacheka Tu😅
 
Enzi za secretariat ya Dr Slaa kulikuwa na Mwenezi akiitwa Makene. Where did he go? Sijawahi kumsikia popote kwa miaka mingi sana!
Mke wake alikua Suzan Masele mbunge wa chadema, kwenye ile hama hama kabla ya uchaguzi wa 2020 alienda NCCR na baada ya muda kidogo Makene naye alihama chadema possibly alienda CCM.
 
Chadema hawana msimano au ni ccm c
 
Enzi za secretariat ya Dr Slaa kulikuwa na Mwenezi akiitwa Makene. Where did he go? Sijawahi kumsikia popote kwa miaka mingi sana!
School Mate..Geita Secondary&High School,ikiwa maarufu kwa Jina la -GESECO-enzi hizo ikiwa ni Private School.
Miss sana zama hizo za kuulamba vizuri tunaenda kuchumbia vijiji vya jirani huko ili tuchinjiwe kuku tule,kumbe ni Wanafunzi!!!Makene atakuwa chimbo anazisaka noti ili akatimize ahadi nyingi za Mahali ambazo hatukuzitimiza mpaka tunahitimu Shule.
 
Akina Katambi?
Huyo si alitoka chadema, kwani alipokua chadema aliwahi kufanya huo udalali?
Elewa tofauti, mfano ACT wanaipongezaga serikali ya CCM wazi na hata kudhoofisha upinzani wazi wazi mfano walipinga katiba mpya na kususiwa uchaguzi.

Ila kwa chadema huwezi fanya hayo ni lazima utoke nje mfano chaumma au CCM ndio ufanye hayo unayotaka.

Na hii ndio tofauti ya Chadema na wapinzani wengine
 
Back
Top Bottom