Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mungu ibariki ChademaJembe kazini💪🏿
Nikikumbuka Ile sekretarieti ya zamani nabaki nacheka Tu😅Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuutaarifu umma kuwa Sekretarieti ya Chama iliyoketi tarehe 10 Juni 2026 kwa mamlaka iliyoikasimisha na Kamati Kuu, imemteua Ndugu Shija Shibeshi kukaimu nafasi ya Katibu wa Kanda ya Kusini yenye mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.
Ndugu Shibeshi ameanza kutekeleza majukumu yake tangu tarehe ya uamuzi huu.
Chama kinamtakia kila la heri na kinaomba Ndugu Shibeshi apewe ushirikiano katika kutekeleza majukumu yake haya mapya.
View attachment 3610084
Ibarikiwe kwa lipiMungu ibariki CHADEMA
Enzi za secretariat ya Dr Slaa kulikuwa na Mwenezi akiitwa Makene. Where did he go? Sijawahi kumsikia popote kwa miaka mingi sana!Mungu ibariki Chadema
Yaliyopita si ndweleEnzi za secretariat ya Dr Slaa kulikuwa na Mwenezi akiitwa Makene. Where did he go? Sijawahi kumsikia popote kwa miaka mingi sana!
Kila Mtu ashinde mechi zake, wewe iombee dua ccm inayokulipa , Acha kujifichaficha mbona kila Mtu ashakujua!Ibarikiwe kwa lipi
Alienda CCM miaka mingi tuEnzi za secretariat ya Dr Slaa kulikuwa na Mwenezi akiitwa Makene. Where did he go? Sijawahi kumsikia popote kwa miaka mingi sana!
Mke wake alikua Suzan Masele mbunge wa chadema, kwenye ile hama hama kabla ya uchaguzi wa 2020 alienda NCCR na baada ya muda kidogo Makene naye alihama chadema possibly alienda CCM.Enzi za secretariat ya Dr Slaa kulikuwa na Mwenezi akiitwa Makene. Where did he go? Sijawahi kumsikia popote kwa miaka mingi sana!
Chadema hawana msimano au ni ccm cMke wake alikua Suzan Masele mbunge wa chadema, kwenye ile hama hama kabla ya uchaguzi wa 2020 alienda NCCR na baada ya muda kidogo Makene naye alihama chadema possibly alienda CCM.
School Mate..Geita Secondary&High School,ikiwa maarufu kwa Jina la -GESECO-enzi hizo ikiwa ni Private School.Enzi za secretariat ya Dr Slaa kulikuwa na Mwenezi akiitwa Makene. Where did he go? Sijawahi kumsikia popote kwa miaka mingi sana!
Chadema ina msimamo ndio maana wanahamaga ili wakafanye kazi ya CCM maana hawawezi ifanya wakiwa ndani.Chadema hawana msimano au ni ccm c
Akina Katambi?Chadema ina msimamo ndio maana wanahamaga ili wakafanye kazi ya CCM maana hawawezi ifanya wakiwa ndani.
Kwani ni dhambi kuiombea ccm?Kila Mtu ashinde mechi zake, wewe iombee dua ccm inayokulipa , Acha kujifichaficha mbona kila Mtu ashakujua!
Huyo si alitoka chadema, kwani alipokua chadema aliwahi kufanya huo udalali?Akina Katambi?