Joseph Ludovick
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 384
- 508
Yaan wamempiga na kumuumiza mdada wa watu, badala wafuatilie anaendeleaje na hali ya majeraha na mtihani wa maumivu anayopitia baada ya kipigo cha nguvu,Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni kuhusu madai ya kupigwa kwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA), Mh. Sigrada Mligo ili kubaini ukweli wa jambo hilo na kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa Katiba, Kanuni na Miongozo yake.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Taarifa ya leo Machi 31, 2025 iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia imeeleza kuwa CHADEMA inafuatilia kwa makini njama za Chama cha Mapinduzi (CCM) za kutumia tukio hili kwa manufaa yao binafsi.
"Tunatoa wito kwa Mh. Sigrada Mligo kuwa makini na mahusiano yake na CCM ili kuepuka kutumiwa kwa malengo yasiyo na nia njema, ambayo yanaweza kuathiri si tu hadhi ya Chama bali na ya kwake pia kama kiongozi na usalama wake binafsi." imesema taarifa hiyo
"Tunaendelea kufuatilia kwa karibu kila hatua inayochukuliwa kwa kushirikiana na vyombo husika vya ndani na nje ya Chama, na baadae tutatoa kauli rasmi kuhusu suala hili kadri itakavyofaa." imesema
CHADEMA watakuwa wanapanga njama za kumdhuru ili wahamishie lawama kwa CCM. kuweni makini na False Flag. Hii ni style yao tangu zamani.
Pia, Soma
Hao ndio wanafikiria kuchukua uongozi wa nchi? Mtu amepigwa live watu wakishuhudia halafu wanamtishia asizungumze na vyombo vya habari? Kweli hao nyumbu ni madikteta uchwara. Halafu hao nyau hakuna wanaweza kumfanyaChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni kuhusu madai ya kupigwa kwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA), Mh. Sigrada Mligo ili kubaini ukweli wa jambo hilo na kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa Katiba, Kanuni na Miongozo yake.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Taarifa ya leo Machi 31, 2025 iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia imeeleza kuwa CHADEMA inafuatilia kwa makini njama za Chama cha Mapinduzi (CCM) za kutumia tukio hili kwa manufaa yao binafsi.
"Tunatoa wito kwa Mh. Sigrada Mligo kuwa makini na mahusiano yake na CCM ili kuepuka kutumiwa kwa malengo yasiyo na nia njema, ambayo yanaweza kuathiri si tu hadhi ya Chama bali na ya kwake pia kama kiongozi na usalama wake binafsi." imesema taarifa hiyo
"Tunaendelea kufuatilia kwa karibu kila hatua inayochukuliwa kwa kushirikiana na vyombo husika vya ndani na nje ya Chama, na baadae tutatoa kauli rasmi kuhusu suala hili kadri itakavyofaa." imesema
CHADEMA watakuwa wanapanga njama za kumdhuru ili wahamishie lawama kwa CCM. kuweni makini na False Flag. Hii ni style yao tangu zamani.
Pia, Soma
Hao si ndio waliomwua Chacha Wangwe? Hata mzee Kibao walimwua wenyewe, wanafanya chokochoko vyombo vya ulinzi na usalama visiwachekee. Mh. Rais hakuna maridhiano ktk usalama na amani ya nchi hii. Jifunzeni DRC, ile nchi imeshamegwa tayari.Yaan wamempiga na kumuumiza mdada wa watu, badala wafuatilie anaendeleaje na hali ya majeraha na mtihani wa maumivu anayopitia baada ya kipigo cha nguvu,
Chadema wanafuatilia mienendo ya siasa za mgonjwa alielazwa, dah!
Masuala ya utu kwa viongozi wao hasa wanaopata matatizo ni mtihani sana ndani ya chadema kwakweli,
ndio maana kauli mbiu ya CCM inasema,
Kazi na utu, tusonge mbele pamoja π
Mmempasua na mkamuacha bila msaada.Wenye huruma wameamua kumsaidia mnaanzq kumlaumu.CHADEMA acheni unyama huo dhidi ya wanawakeChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni kuhusu madai ya kupigwa kwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA), Mh. Sigrada Mligo ili kubaini ukweli wa jambo hilo na kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa Katiba, Kanuni na Miongozo yake.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Taarifa ya leo Machi 31, 2025 iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia imeeleza kuwa CHADEMA inafuatilia kwa makini njama za Chama cha Mapinduzi (CCM) za kutumia tukio hili kwa manufaa yao binafsi.
"Tunatoa wito kwa Mh. Sigrada Mligo kuwa makini na mahusiano yake na CCM ili kuepuka kutumiwa kwa malengo yasiyo na nia njema, ambayo yanaweza kuathiri si tu hadhi ya Chama bali na ya kwake pia kama kiongozi na usalama wake binafsi." imesema taarifa hiyo
"Tunaendelea kufuatilia kwa karibu kila hatua inayochukuliwa kwa kushirikiana na vyombo husika vya ndani na nje ya Chama, na baadae tutatoa kauli rasmi kuhusu suala hili kadri itakavyofaa." imesema
CHADEMA watakuwa wanapanga njama za kumdhuru ili wahamishie lawama kwa CCM. kuweni makini na False Flag. Hii ni style yao tangu zamani.
Pia, Soma
Angekuwa dada yako ungeongea ujinga wako huo?Inaonekana ninyi CHADEMA wote ni wakatili wa kijinsiaIpo wazi anatumiwa na CCM kuleta mtafaruku
wanawake hawapendani, hawathaminiani wala kuoneana huruma kabisa,Hii ni moja ya barua za kipumbavu kabisa.
Wanawake ni JESHI kubwa.Wanawake wengi wamesikitika kwa kitendo alichofanyiwawanawake hawapendani, hawathaminiani wala kuoneana huruma kabisa,
hebu tazama roho ya kinyama aliyonayo huyo mwanamama muandishi alie saini barua hiyo?
Na hapo,
anajiona yeye ni jasiri kweli kweli anaestahili kusifiwa na kupongezwa na chadema yote π
Ukiona ccm wako na mwanachadema karibu ujue kuna njia ya kumtumia ili ccm wapate ajenda yao halafu wamuue. Hakuna ccm yenye mapenzi na mwanachadema. Full stop.Yaan wamempiga na kumuumiza mdada wa watu, badala wafuatilie anaendeleaje na hali ya majeraha na mtihani wa maumivu anayopitia baada ya kipigo cha nguvu,
Chadema wanafuatilia mienendo ya siasa za mgonjwa alielazwa, dah!
Masuala ya utu kwa viongozi wao hasa wanaopata matatizo ni mtihani sana ndani ya chadema kwakweli,
ndio maana kauli mbiu ya CCM inasema,
Kazi na utu, tusonge mbele pamoja π
ila gentleman,Wanawake ni JESHI kubwa.Wanawake wengi wamesikitika kwa kitendo alichofanyiwa
Wangetafuta mbinu nyingine kwa hii ya kuandika barua ya kalipio wakati Yuko kitandani ni zaidi ya unyama.Wamefanya kosa kubwa sana la kisiasa na kiubinadamu kuiirelease hii barua .Ndiomaana nasema CHADEMA ya sasa imekosa viongozi wenye hekimaila gentleman,
alieandika barua hiyo ya onyo kwa mgonjwa kwa niaba ya makamanda wengine wanawake wa chadema na roho ngumu ya kipekee sana dah π
Makala anaenda na kiki kama diamondi! Makala atuambie wapi ebola na mpox zinauzwa?Yaan wamempiga na kumuumiza mdada wa watu, badala wafuatilie anaendeleaje na hali ya majeraha na mtihani wa maumivu anayopitia baada ya kipigo cha nguvu,
Chadema wanafuatilia mienendo ya siasa za mgonjwa alielazwa, dah!
Masuala ya utu kwa viongozi wao hasa wanaopata matatizo ni mtihani sana ndani ya chadema kwakweli,
ndio maana kauli mbiu ya CCM inasema,
Kazi na utu, tusonge mbele pamoja π
Gentleman,Ukiona ccm wako na mwanachadema karibu ujue kuna njia ya kumtumia ili ccm wapate ajenda yao halafu wamuue. Hakuna ccm yenye mapenzi na mwanachadema. Full stop.
Infact,Makala anaenda na kiki kama diamondi! Makala atuambie wapi ebola na mpox zinauzwa?