PreGE2025 CHADEMA yamuonya Sigrada Mligo kutumiwa vibaya na CCM

PreGE2025 CHADEMA yamuonya Sigrada Mligo kutumiwa vibaya na CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wangetafuta mbinu nyingine kwa hii ya kuandika barua ya kalipio wakati Yuko kitandani ni zaidi ya unyama.Wamefanya kosa kubwa sana la kisiasa na kiubinadamu kuiirelease hii barua .Ndiomaana nasema CHADEMA ya sasa imekosa viongozi wenye hekima
you are very right gentleman politically speaking 💪👊
 
Kwa
Hii statement inasikitisha sana. Hamna hata mahali ambapo wameonyesha kujali hali yake. Wao wanakimbilia vitisho na insinuations. Wao walitegemea Sigrada akatae kutembelewa na Makalla? Mbona Lissu alitembelewa na Samia na Mbowe na Ndugai na hakukuwa na shutuma za kipuuzi. Kitakachofuata ni tamko la CDM kumfukuza uanachama kwa sababu amekubali kutumika na CCM. Ovyo kabisa.

Kwa mwenendo huu kwa nini watu wasiamini kuwa Noel alitumwa na CDM kumpiga au CDM wanabariki kitendo cha Sigrada kupigwa?

Watu wa ajabu sana.

Amandla...
Kweli hapa umenena sahihi wamulixe lissu samia alipoenda lisu alinunuliwa
 
Ajiandae kuambikizwa WHO ,na huyo anayejifanya anamjua sana

anajisahau anaona chadema ya mbowe
 
Hivi sijui kwa nini CHADEMA huwa inatumia sana mh kwa viongozi, linaleta ukakasi sana kwangu mimi na kwa kweli silipendi kabisa kutumika, sijui kwa wengine!
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni kuhusu madai ya kupigwa kwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA), Mh. Sigrada Mligo ili kubaini ukweli wa jambo hilo na kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa Katiba, Kanuni na Miongozo yake.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Taarifa ya leo Machi 31, 2025 iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia imeeleza kuwa CHADEMA inafuatilia kwa makini njama za Chama cha Mapinduzi (CCM) za kutumia tukio hili kwa manufaa yao binafsi.

"Tunatoa wito kwa Mh. Sigrada Mligo kuwa makini na mahusiano yake na CCM ili kuepuka kutumiwa kwa malengo yasiyo na nia njema, ambayo yanaweza kuathiri si tu hadhi ya Chama bali na ya kwake pia kama kiongozi na usalama wake binafsi." imesema taarifa hiyo

"Tunaendelea kufuatilia kwa karibu kila hatua inayochukuliwa kwa kushirikiana na vyombo husika vya ndani na nje ya Chama, na baadae tutatoa kauli rasmi kuhusu suala hili kadri itakavyofaa." imesema


CHADEMA watakuwa wanapanga njama za kumdhuru ili wahamishie lawama kwa CCM. kuweni makini na False Flag. Hii ni style yao tangu zamani.

Pia, Soma
Uso wa mtu huongea mambo mengi sana, wachache wanaelewa hii kitu,

Kutumia sura/ uso unaweza mscani mtu alichokibeba moyoni mwake, Dr slaa ni moja ya wajuvi wa mambo aya na tukiwemo wachache sana
 
Yaan wamempiga na kumuumiza mdada wa watu, badala wafuatilie anaendeleaje na hali ya majeraha na mtihani wa maumivu anayopitia baada ya kipigo cha nguvu,

Chadema wanafuatilia mienendo ya siasa za mgonjwa alielazwa, dah!
Masuala ya utu kwa viongozi wao hasa wanaopata matatizo ni mtihani sana ndani ya chadema kwakweli,

ndio maana kauli mbiu ya CCM inasema,
Kazi na utu, tusonge mbele pamoja 🐒
Usijiuguze ukichaa,yaliyofanywa na hawa watu wanaoihujumu chadema ni zaidi hata ya hayo maumivu aliyoyapata.
Halafu usijifanye unahuruma sana,wakati alipigwa lissu na hamkusema chochote.
 
Yaan wamempiga na kumuumiza mdada wa watu, badala wafuatilie anaendeleaje na hali ya majeraha na mtihani wa maumivu anayopitia baada ya kipigo cha nguvu,

Chadema wanafuatilia mienendo ya siasa za mgonjwa alielazwa, dah!
Masuala ya utu kwa viongozi wao hasa wanaopata matatizo ni mtihani sana ndani ya chadema kwakweli,

ndio maana kauli mbiu ya CCM inasema,
Kazi na utu, tusonge mbele pamoja 🐒
Icho kitanda amelalia , kinaweza setiwa angle yoyote ,cardiac position n.k sasa iyo mito apo inafanya nini,

Akisema ameumia kichwani ,je wagonjwa TBI huwa kwenye position ya namna iyo ya kuweka mito juu bampa la kitanda.

Kwa mwonekano tu GCS ni 15/15 namanisha
Makalla amemshika mkono ila inaonekana anamsemesha ,macho yako vizuri mpaka anatabasam,

Memory pia ipo vizuri ndo maana kuna ushirikiano na anaesalimia naye ,anamfaham
,mwaka huu tutaona mengi aisee
 
Hii ni moja ya barua za kipumbavu kabisa.
Kabisa mtu yuko ICU kalazwa halafu mtu snamwandikia barua mtu unconscious kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi yake

Kama kweli hiyo barua imetoka Chadema watetea haki za binadamu iburuzeni Chadema mahakamani
Haiwezekani kumwandikia barua mtu aliye ICU anapambania uhai wake

Aliyeandika hiyo barua utu na akili na hekima vyoye hana
 
Infact,
Tundu lisu alipopata tatizo miaka ile ya 2017, kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan na Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi walikwenda kumtembelea mgonjwa huyo pale Nairobi Hospital, Je, lilikua Tatizo?

au ni uelewa na kufahamu mdogo juu ya mambo haya gentleman?🐒
Chadema hata hospital hawakukanyaga na ukichukulia kuwa huyo ni kiongozi wao mkubwa sana kitaifa kwenye chama chao

Kwa nini hawakwenda hospitali kumuona kiongozi wao?
 
Kabisa mtu yuko ICU kalazwa halafu mtu snamwandikia barua mtu unconscious kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi yake

Kama kweli hiyo barua imetoka Chadema watetea haki za binadamu iburuzeni Chadema mahakamani
Haiwezekani kumwandikia barua mtu aliye ICU anapambania uhai wake

Aliyeandika hiyo barua utu na akili na hekima vyoye hana
Uyo yupo unconscious? kwa vigezo vipi umetumia au umeamua kurupuka kuandika , unajua maana mgonjwa ambae ni unconscious, semiconscious, coma ,

Msiwe mnakuja na mambo ya ajabu kuchefua watu
 
Uyo yupo unconscious? kwa vigezo vipi umetumia au umeamua kurupuka kuandika , unajua maana mgonjwa ambae ni unconscious, semiconscious, coma ,

Msiwe mnakuja na mambo ya ajabu kuchefua watu
Kwa hiyo ni mzima? Hospitali alienda kutalii? Hospitali ni mbuga ya wanyama au?

Chadema mngeenda hata kinafiki tu kumuona Hospitali ils kukwepa mnaogopa kuwa labda mtakamatwa kama watuhumiwa

Kwa nini hakuna kiongozi wa Chadema aliyekwenda kumuona Hospitali hata kuhakiki tu kaman fake AU LA?
 
Hii statement inasikitisha sana. Hamna hata mahali ambapo wameonyesha kujali hali yake. Wao wanakimbilia vitisho na insinuations. Wao walitegemea Sigrada akatae kutembelewa na Makalla? Mbona Lissu alitembelewa na Samia na Mbowe na Ndugai na hakukuwa na shutuma za kipuuzi. Kitakachofuata ni tamko la CDM kumfukuza uanachama kwa sababu amekubali kutumika na CCM. Ovyo kabisa.

Kwa mwenendo huu kwa nini watu wasiamini kuwa Noel alitumwa na CDM kumpiga au CDM wanabariki kitendo cha Sigrada kupigwa?

Watu wa ajabu sana.

Amandla...

Mpuuzi wewe mtu alisharuhusiwa aende nyumbani ni mzima alikua amelewa akaomba abaki hospital kutengeneza drama.
Sasa CCM wamemuamisha n kumpeleka wodi ya VIP na yeye anakubali kutumika hovyo.

Ulotaka Chama kikae Kimya.

Kama mnajali sana wanachama wa Chadema mbona hamkujali wakati Mzee Kibao ametekwa
 
Huko Dodoma anapopelekwa sijui kwa , matibabu na chadema kwa kuwa uyu bado ni kiongozi ndani ya chama , kabla ya report ya kitabibu kutolewa ,Madaktari wa chama cha chadema wahusishwe pia.
 
Makalla atambue uyo bado ni mwanachama wa chadema, ni vyema kuweka wazi uyo Mgonjwa hapo Dodoma amelazwa Hospital gani.

Siasa zipo ,zitakuepo na tutaziacha tuache drama za ajabu kisa siasa.

Uchungu wa Makalla kwa uyu kada wa chadema umetoka wapi?
kwa nini uyu na sio wengine ambao wameumizwa
 
Hii statement inasikitisha sana. Hamna hata mahali ambapo wameonyesha kujali hali yake. Wao wanakimbilia vitisho na insinuations. Wao walitegemea Sigrada akatae kutembelewa na Makalla? Mbona Lissu alitembelewa na Samia na Mbowe na Ndugai na hakukuwa na shutuma za kipuuzi. Kitakachofuata ni tamko la CDM kumfukuza uanachama kwa sababu amekubali kutumika na CCM. Ovyo kabisa.

Kwa mwenendo huu kwa nini watu wasiamini kuwa Noel alitumwa na CDM kumpiga au CDM wanabariki kitendo cha Sigrada kupigwa?

Watu wa ajabu sana.

Amandla...
Unamjulia hali mtu ambae yupo kwenye maigizo?
 
Back
Top Bottom