PreGE2025 CHADEMA yamuonya Sigrada Mligo kutumiwa vibaya na CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wangetafuta mbinu nyingine kwa hii ya kuandika barua ya kalipio wakati Yuko kitandani ni zaidi ya unyama.Wamefanya kosa kubwa sana la kisiasa na kiubinadamu kuiirelease hii barua .Ndiomaana nasema CHADEMA ya sasa imekosa viongozi wenye hekima
20250327_181640.jpg
 
Hili tukio limetoa ushahidi kwamba hakuna kiongozi sahihi. Ngoja wamtumie kama condom, wakishakojoa shahawa wanamtupa
 
View attachment 3288735
Hilo ni ajenda yenu ya kumtumia sasa kuna huyu aliyepigwa na kuzimia ulitoa neno gani?
je,
kuna kiongozi wa chadema aliewahi kwenda kumjulia hali huyo muungwana aliepigwa na huyo mzee?

hata hivyo,
kwa kipigo alichopata yule binti kiongozi wa chadema kutoka kwa hao majambazi ambao eti ni walinzi wa kiongozi wa chama taifa, sipati picha walivyokua wanamshughulukia marehemu Mohamed Kibao,dah!🐒
 
Hao si ndio waliomwua Chacha Wangwe? Hata mzee Kibao walimwua wenyewe, wanafanya chokochoko vyombo vya ulinzi na usalama visiwachekee. Mh. Rais hakuna maridhiano ktk usalama na amani ya nchi hii. Jifunzeni DRC, ile nchi imeshamegwa tayari
Wewe ni mpumbavu.
 
Hii roho ya utu, upendo na ya kuguswa mmeianza lini nyinyi viumbe mnaofahamika duniani kote kwa kuwateka watu mchana kweupe na kwenda kuwatesa/kuwaua!

Nyinyi ambao mnawakata mapanga wanachama wa Chadema kupitia kile kikundi chenu cha Green Guard, na hamfanywi chochote!!
Gentleman,
kwa kipigo kile,kuna kila dalili huyo mlinzi binafsi wa huyo ambae inasekekana ni kiongozi wa kitaifa, alihusika kumdhuru na kumdhulumu uhai marehemu kibao,

inasikitisha sana na inafedhehesha sana 🐒
 
Gentleman,
kwa kipigo kile,kuna kila dalili huyo mlinzi binafsi wa huyo ambae inasekekana ni kiongozi wa kitaifa, alihusika kumdhuru na kumdhulumu uhai marehemu kibao 🐒
It seems you are not ok! Young man, relax! ok?
 
Umakini upi mnaweweseka na ishu ndogo km hii..kiongozi wenu mnashindwa kwenda kumuona na kuhojiana nae mnakimbilia kuandika barua..
Mgonjwa mwenyewe umemuona lakini, kashuka kwenye ndinga, katembea ati kwa kuchechemea akaingia mwenyewe kwenye Ambulance, kapiga eleni Murua kabisa ,uyo ndo unconscious , hivi mgonjwa mahututi huingizwa kwenye ambulance namna hii , na makamera juu. Mgonjwa mahututi anafata ambulance kutoka kwenye gari private ,sio ambulance inamfuata mgonjwa kuanzia ICU alipolazwa .

Tz kichwa cha wendawazim kweli

Ngoja tusubiri report ya CT Scan or MRI ,

Makalla atajua hajui, kama mpox na Ebolla imeamia kwenye kuvilia ubongo ,au kupasuka fuvu ,atajua kuwa Dunia ipo mbali sana kuliko anavyo fikiri,

matabibu hapo anapotibiwa wanatakiwa kuwa makini sana ,hapa Ethics za Utabibu wao zinatakiwa kufanya kazi kuliko wakati mwingine wowote ,kama walikua wanayasoma wanafikili haina maana , hapa ndo penyewe
 
Nasikia alitoka eneo analosema alipigiwa akaenda baa na asubuhi yake akaonekana Hospitali.
Maana naye maumivu yalianza baada ya pombe kuisha kichwani.
 
..kwa hiyo haiwezekani mtu kwenda sangamela kutembea na baada ya hapo akaenda hospitali? au kuna kosa gani kwenda sangamela na baadae kwenda hospitali..
Umepigwa umezimia alafu saa 7 usiku upo Sangamela
 
Alafu hapo iringa uyu alilazwa hosp gani, ya Rufaa au private ,kama ni ya Rufaa , na je utaratibu wanatakiwa kufanya referral wapi? kama ni private utaratibu wao wanatakiwa kafanya referral wapi.

2 itakua vizuri matibu yake ya awali kabla mgonjwa hajapewa rufaa tukiyapata
 
View attachment 3288735
Hilo ni ajenda yenu ya kumtumia sasa kuna huyu aliyepigwa na kuzimia ulitoa neno gani?
Msichoelewa ni kuwa tunategemea CDM wata behave tofauti na CCM. Ndio maana tunasikitika tunapoona wanafanya yale yale ambayo wanawashutumu CCM. Na kibaya zaidi ni pale ambapo badala ya kusikitikia tukio, wao wanasema mbona CCM wanafanya haya haya!

Amandla...
 
We
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni kuhusu madai ya kupigwa kwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA), Mh. Sigrada Mligo ili kubaini ukweli wa jambo hilo na kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa Katiba, Kanuni na Miongozo yake.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Taarifa ya leo Machi 31, 2025 iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia imeeleza kuwa CHADEMA inafuatilia kwa makini njama za Chama cha Mapinduzi (CCM) za kutumia tukio hili kwa manufaa yao binafsi.

"Tunatoa wito kwa Mh. Sigrada Mligo kuwa makini na mahusiano yake na CCM ili kuepuka kutumiwa kwa malengo yasiyo na nia njema, ambayo yanaweza kuathiri si tu hadhi ya Chama bali na ya kwake pia kama kiongozi na usalama wake binafsi." imesema taarifa hiyo

"Tunaendelea kufuatilia kwa karibu kila hatua inayochukuliwa kwa kushirikiana na vyombo husika vya ndani na nje ya Chama, na baadae tutatoa kauli rasmi kuhusu suala hili kadri itakavyofaa." imesema

CHADEMA watakuwa wanapanga njama za kumdhuru ili wahamishie lawama kwa CCM. kuweni makini na False Flag. Hii ni style yao tangu zamani.

Pia, Soma
We lazima ni kichaa punguani!! Sigrada wakati wote yupo na viongozi wa CCM kwa madai kuwa wanasimamia matibabu yake, halafu CHADEMA wamdhuru!! Umekosa hata ile akili ndogo kabisa?? Sigrada akidhurika, ninyi mashetani wa CCM ndio mtakaokuwa mmemdhuru maana mnaye Sigrada wakati wote. Hata familia yake mmeiweka pembeni!!
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni kuhusu madai ya kupigwa kwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA), Mh. Sigrada Mligo ili kubaini ukweli wa jambo hilo na kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa Katiba, Kanuni na Miongozo yake.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Taarifa ya leo Machi 31, 2025 iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia imeeleza kuwa CHADEMA inafuatilia kwa makini njama za Chama cha Mapinduzi (CCM) za kutumia tukio hili kwa manufaa yao binafsi.

"Tunatoa wito kwa Mh. Sigrada Mligo kuwa makini na mahusiano yake na CCM ili kuepuka kutumiwa kwa malengo yasiyo na nia njema, ambayo yanaweza kuathiri si tu hadhi ya Chama bali na ya kwake pia kama kiongozi na usalama wake binafsi." imesema taarifa hiyo

"Tunaendelea kufuatilia kwa karibu kila hatua inayochukuliwa kwa kushirikiana na vyombo husika vya ndani na nje ya Chama, na baadae tutatoa kauli rasmi kuhusu suala hili kadri itakavyofaa." imesema

CHADEMA watakuwa wanapanga njama za kumdhuru ili wahamishie lawama kwa CCM. kuweni makini na False Flag. Hii ni style yao tangu zamani.

Pia, Soma
Hiki ni kikundi cha mungiki.

Tulionya hiki sio chama Chenye utu tena bali ni kikundi cha mungiki. Unamuonya mtu aliyepigwa asitembelewe wakati nyinyi wenyewe hamjawahi kwenda kumuona???
 
je,
kuna kiongozi wa chadema aliewahi kwenda kumjulia hali huyo muungwana aliepigwa na huyo mzee?

hata hivyo,
kwa kipigo alichopata yule binti kiongozi wa chadema kutoka kwa hao majambazi ambao eti ni walinzi wa kiongozi wa chama taifa, sipati picha walivyokua wanamshughulukia marehemu Mohamed Kibao,dah!🐒
Huyo mliomteka na kumuua?
 
CHADEMA tuna mechanism ya kuamua migogoro ndani ya Chama.
 
Kompyuta iliyotumika kuchapa hili barua na kalam iliyosaini mbona havijawahi kutumika kutoa tamko la kulaani unyama wa kuumizwa huyu mama? CHADEMA mna akili mbovu kama fenesi lililooza
Hawajielewi huyo ni kiongozi wa Chadema kitaifa nyuma yake ana watu kibao sio wa kudharaulika kirahisi hivyo

Ni kama Lisu alivyobeba bango la kumdhalilisha Mbowe mtu ambaye nyuma yake kuna wafadhili wafanyabiashara mamilionea wa ndani na nje wafadhili Chadema sababu wana imani na tajiri mfanyabiashara mwenzao Mbowe sio Lisu mzururaji ambaye maisha yake hana shughuli ya kueleweka ya kumuingizia kipato zaidi ya kuwa ombaomba wa tonetone

Lisu hana ubavu wa kuaminiwa kukopeshwa na wafanyabiashara wenye pesa akisema wampe akodi helicopter ya kampeni kuwa atalipa hakuna wa kumuamini lofa mkubwa

Chadema lazima wajue huyo mwenezi wao kitaifa bawacha ana wafuasi wake ndani ya Chadema sio mwepesi kivile wanavyomchukulia
 
Back
Top Bottom