CHADEMA yaomboleza Msiba wa Mzee Mwinyi

Tutatoa hotuba iliyotukuka , iliyojaa ukweli wa Maisha yake , ikiwemo kuhusika kwake kuuza Loliondo , kama alivyokiri mwenyewe
Naamini Mbowe hawezi kuwa mpuuzi kama wafuasi wengine wa Cdm na kwenda kuongea yasiyofaa mbele ya mazishi ya mtu ambaye amewezesha yeye kuwepo hapo kwa mwanasiasa
 
Naamini Mbowe hawezi kuwa mpuuzi kama wafuasi wengine wa Cdm na kwenda kuongea yasiyofaa mbele ya mazishi ya mtu ambaye amewezesha yeye kuwepo hapo kwa mwanasiasa
Huyu nae wakati mwingine akiwa ameonja cha ARUSHA huwa zinamrukaga aisee
 
Mbowe kwa kupenda misiba ili apate kutafuna ruzuku, hatari. Awaache ACT wazalendo wawakilishe upinzani maana makamu wa kwanza wa rais ni Act.
 
Msiba huu una Ubwabwa lazima waibuke tu!! Ule msiba wa ajali Arusha walipotezea
Kwenye nyama pia alikuwa siti ya mbele. Ila ule wa watu 25 akaenda kwenye maandamamo yenye ruzuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…