Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Hapana sie tutaoshi miaka mingi lo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sie tutaoshi miaka mingi lo
Wnafiki kwenye UBORA wao
Naamini Mbowe hawezi kuwa mpuuzi kama wafuasi wengine wa Cdm na kwenda kuongea yasiyofaa mbele ya mazishi ya mtu ambaye amewezesha yeye kuwepo hapo kwa mwanasiasaTutatoa hotuba iliyotukuka , iliyojaa ukweli wa Maisha yake , ikiwemo kuhusika kwake kuuza Loliondo , kama alivyokiri mwenyewe
Huyu nae wakati mwingine akiwa ameonja cha ARUSHA huwa zinamrukaga aiseeNaamini Mbowe hawezi kuwa mpuuzi kama wafuasi wengine wa Cdm na kwenda kuongea yasiyofaa mbele ya mazishi ya mtu ambaye amewezesha yeye kuwepo hapo kwa mwanasiasa
Buriani
Mama Kizimkazi akimsikia anaimba taarabu!Kamanda mboga mboga huyu ,hamuoni aibu aisee?
Msiba huu una Ubwabwa lazima waibuke tu!! Ule msiba wa ajali Arusha walipotezea
Mbowe kwa kupenda misiba ili apate kutafuna ruzuku, hatari. Awaache ACT wazalendo wawakilishe upinzani maana makamu wa kwanza wa rais ni Act.Chadema imetumia Salam za Pole kwa Rais wa JMT mh Dr Samia, Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi na familia ya marehemu Mzee Ali Hassan Mwinyi
Naibu Katibu mkuu Zanzibar mh Salum Mwalimu amesema Mwenyekiti Mbowe ataongoza ujumbe wa Chadema kwenye mazishi ya mzee Mwinyi kesho Zanzibar
RIP mzee Rukhsa
Kwenye nyama pia alikuwa siti ya mbele. Ila ule wa watu 25 akaenda kwenye maandamamo yenye ruzuku.Msiba huu una Ubwabwa lazima waibuke tu!! Ule msiba wa ajali Arusha walipotezea
Uongo hautakusaidia loloteKwenye nyama pia alikuwa siti ya mbele. Ila ule wa watu 25 akaenda kwenye maandamamo yenye ruzuku.
Mbona wee hukuenda kula ubwabwaMsiba huu una Ubwabwa lazima waibuke tu!! Ule msiba wa ajali Arusha walipotezea
Hacha wivu wa matyako waziAende akateme pumba kama alizotema kwenye msiba wa Lowassa.
Tutatoa hotuba iliyotukuka , iliyojaa ukweli wa Maisha yake , ikiwemo kuhusika kwake kuuza Loliondo , kama alivyokiri mwenyewe
Mungu Ibariki CHADEMA