LGE2024 CHADEMA "yapata ushindi mkubwa" Serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
CHADEMA iliingia kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu 2024 ikiwa na malengo mawili.

Kwanza CHADEMA walikusudia kuonesha kwamba kwa kutumia mfumo huu wa uchaguzi unaopendelewa na CCM, uchaguzi hautakuwa huru wala wa haki.

Jambo la pili ambalo CHADEMA walikusudia kuonesha ni kwamba CHADEMA Ina ushawishi mkubwa sana kwa wananchi kuliko CCM.

Kwenye mambo yote mawili CHADEMA wamefanikiwa.

Kitendo cha wagombea wao kuenguliwa kinyume cha kanuni za uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024,zilizotungwa na CCM wenyewe, kinaonesha kuwa hoja ya CHADEMA kwamba Wakurugenzi wa Halmashauri za miji hawafai kusimamia uchaguzi huo na mwigine wowote ule, hoja yao hiyo kuwa ina mashiko.

Kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA bila ya sababu za msingi, kunaimarisha hoja ya CHADEMA kuwa CCM inategemea nguvu ya vyombo vya dola kuendesha siasa zake.

Lakini ukiangalia nguvu wanayotumia CCM kufanya Kampeni zao, unagundua kuwa hawakubaliki kwa wananchi ila wanalazimisha kukubalika.

Lakini kwa upande wa pili CHADEMA Kampeni zao zina muamko mkubwa sana na hoja zao zinaonekana kuvutia hisia za watanzania wengi.

Bahati mbaya sana CCM watafanya kile walichofanya mwaka 2019, watajitangaza washindi.

Kiujumla CHADEMA imepata ushindi mkubwa sana kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024.
Kiujumla CHADEMA imepata ushindi mkubwa sana kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024.🔨🔨🔨🔨
 
Hoja hii Ina mashiko ndiyo, lkn ccm wameitupilia mbali kwa kutumia mahakama-jina na majaji wanaoendeshwa kwa vimemo.

Nini kifanyike kuliondoa hili?
Hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho. Dhulma na ufisadi vinafupisha maisha ya chama cha kijani. Kuna namna itatokea na watu hatutakuja amini kirahisi
 
..nilitegemea ktk uchaguzi huu Ccm wapanue.

..halafu 2025 ndio wabinye, lakini wao wamefanya kinyume chake.
Kiufupi ni waoga... Iko siku yale ya Gambia yatatokea na hapa pia.

Siku watumishi wa Halmashauri za miji watakapogoma kutumika kuharibu uchaguzi.
 
Chadema wangojee kuangukia pua eti wana hoja na wanakubalika na wananchi.? CCM bado inakubalika hata kama ni sababu ya historia yake kua chama cha kutetea wanyonge. Kipindi cha Magufuli ccm ilirejesha matumaini ya umma. Kwa sasa chini ya samia wananchi bado hawaiamini. Licha ya hivyo umma wa watanzania hawana imani na chadema kwa kua inafuata itikadi ya uliberali na kimeonyesha kutumikia maslahi ya nchi za magharibi ya kibepari. Chaguo lao ni kubaki na ccm huku wakifanya upinzani wa ndani kwa ndani ili kuweka viongozi wanaoendana na itikadi ya chama hicho ya haki na usawa kijamii na kiuchumi na kutanguliza maslahi ya umma wa wananchi mbele.
CCM hii hii ya kijinga?
 
CHADEMA iliingia kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu 2024 ikiwa na malengo mawili.

Kwanza CHADEMA walikusudia kuonesha kwamba kwa kutumia mfumo huu wa uchaguzi unaopendelewa na CCM, uchaguzi hautakuwa huru wala wa haki.

Jambo la pili ambalo CHADEMA walikusudia kuonesha ni kwamba CHADEMA Ina ushawishi mkubwa sana kwa wananchi kuliko CCM.

Kwenye mambo yote mawili CHADEMA wamefanikiwa.

Kitendo cha wagombea wao kuenguliwa kinyume cha kanuni za uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024,zilizotungwa na CCM wenyewe, kinaonesha kuwa hoja ya CHADEMA kwamba Wakurugenzi wa Halmashauri za miji hawafai kusimamia uchaguzi huo na mwigine wowote ule, hoja yao hiyo kuwa ina mashiko.

Kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA bila ya sababu za msingi, kunaimarisha hoja ya CHADEMA kuwa CCM inategemea nguvu ya vyombo vya dola kuendesha siasa zake.

Lakini ukiangalia nguvu wanayotumia CCM kufanya Kampeni zao, unagundua kuwa hawakubaliki kwa wananchi ila wanalazimisha kukubalika.

Lakini kwa upande wa pili CHADEMA Kampeni zao zina muamko mkubwa sana na hoja zao zinaonekana kuvutia hisia za watanzania wengi.

Bahati mbaya sana CCM watafanya kile walichofanya mwaka 2019, watajitangaza washindi.

Kiujumla CHADEMA imepata ushindi mkubwa sana kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024.
Kweli kabisa mkuu. Umenena kweli. Chadema ni kama wameshinda ktk uchaguzi huu na hiki ni kipimajoto tosha kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.
 
Hichi Chama mda si mrefu kitakufa maana wanajifanya hawaoni ukweli halisi

Wakati mlipokuwa mnazoa viti ilikuwa sio Kwa nguvu zenu Bali ni Kwa nguvu za wananchi mlitakiwa mrudishe Imani kwanza Kwa wananchi
 
Hichi Chama mda si mrefu kitakufa maana wanajifanya hawaoni ukweli halisi.
Yaani isife CCM ambayo viongozi wake wanaongoza Serikali inayopoteza trilioni za fedha kila mwaka( Kwa mujibu wa CAG) ije kufa CHADEMA?

Kama CHADEMA inakufa huku kuweweseka kwa CCM kunatokana na nini?
 
halafu Kibaraka anajifanya kama haelewi somo vile 🤣

ila hataamini macho yake, na ataongea sana wakati muafaka ukifika. Anasubiriwa afike mlangoni kabisa ndio aambiwe Ukweli, dah 🐒
Akili huna wewe kama ulienda shule basi ulifaulu kwa kuiba mitihani yako. Kule mwalimu Nyerere ulikuwa una deseshw kama ulifika chuo
 
muerevu umejaa mihemko tu na makasiriko nonsense dah!

huna mawazo mapya wala fikra mbadala. umefikia ukomo wako wa mwisho kuwazaee 🤣

umebaki na ghadhabu tu dah, kufilisika huko kifikra ni hatari sana aise 🐒
 
Wafu wanazikana,pipa na mfuniko!
Umenikumbusha wimbo wa Michael Jackson wa "Thriller" jinsi misukule ilivyokuwa inacheza huo wimbo😆😆😀

Nikiona watu wanacheza ule wimbo wa CCM ni ile ile huwa nacheka tu.
 
muerevu umejaa mihemko tu na makasiriko nonsense dah!

huna mawazo mapya wala fikra mbadala. umefikia ukomo wako wa mwisho kuwazaee 🤣

umebaki na ghadhabu tu dah, kufilisika huko kifikra ni hatari sana aise 🐒
Bora kufilisika kifikra lakini unajitambua kuliko wewe chawa wa kijani
Unashabikia watu kugombqna na kuwaita watu vibaraka. Nawewe ni nani sasa!
Kama mimi nimefilisika kimawazo wewe umefilisika nn?
Unataka mawazo na fikra mpya huku unashabikia chama kilichofilisika kifkra au hujui kwamba CHAMA CHA MANGURUWE NDICHO KINAFILISI NCHI HII KWA UFISADI?
wewe unadai you need vibrant opposition parts wakati vilivyopo unataka vile?
 
CHADEMA iliingia kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu 2024 ikiwa na malengo mawili.

Kwanza CHADEMA walikusudia kuonesha kwamba kwa kutumia mfumo huu wa uchaguzi unaopendelewa na CCM, uchaguzi hautakuwa huru wala wa haki.

Jambo la pili ambalo CHADEMA walikusudia kuonesha ni kwamba CHADEMA Ina ushawishi mkubwa sana kwa wananchi kuliko CCM.

Kwenye mambo yote mawili CHADEMA wamefanikiwa.

Kitendo cha wagombea wao kuenguliwa kinyume cha kanuni za uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024,zilizotungwa na CCM wenyewe, kinaonesha kuwa hoja ya CHADEMA kwamba Wakurugenzi wa Halmashauri za miji hawafai kusimamia uchaguzi huo na mwigine wowote ule, hoja yao hiyo kuwa ina mashiko.

Kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA bila ya sababu za msingi, kunaimarisha hoja ya CHADEMA kuwa CCM inategemea nguvu ya vyombo vya dola kuendesha siasa zake.

Lakini ukiangalia nguvu wanayotumia CCM kufanya Kampeni zao, unagundua kuwa hawakubaliki kwa wananchi ila wanalazimisha kukubalika.

Lakini kwa upande wa pili CHADEMA Kampeni zao zina muamko mkubwa sana na hoja zao zinaonekana kuvutia hisia za watanzania wengi.

Bahati mbaya sana CCM watafanya kile walichofanya mwaka 2019, watajitangaza washindi.

Kiujumla CHADEMA imepata ushindi mkubwa sana kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024.
Endelea kujidanganya!
 
Back
Top Bottom