LGE2024 CHADEMA "yapata ushindi mkubwa" Serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kiujumla CHADEMA imepata ushindi mkubwa sana kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024.πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨
 
Hoja hii Ina mashiko ndiyo, lkn ccm wameitupilia mbali kwa kutumia mahakama-jina na majaji wanaoendeshwa kwa vimemo.

Nini kifanyike kuliondoa hili?
Hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho. Dhulma na ufisadi vinafupisha maisha ya chama cha kijani. Kuna namna itatokea na watu hatutakuja amini kirahisi
 
..nilitegemea ktk uchaguzi huu Ccm wapanue.

..halafu 2025 ndio wabinye, lakini wao wamefanya kinyume chake.
Kiufupi ni waoga... Iko siku yale ya Gambia yatatokea na hapa pia.

Siku watumishi wa Halmashauri za miji watakapogoma kutumika kuharibu uchaguzi.
 
CCM hii hii ya kijinga?
 
Kweli kabisa mkuu. Umenena kweli. Chadema ni kama wameshinda ktk uchaguzi huu na hiki ni kipimajoto tosha kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.
 
Hichi Chama mda si mrefu kitakufa maana wanajifanya hawaoni ukweli halisi

Wakati mlipokuwa mnazoa viti ilikuwa sio Kwa nguvu zenu Bali ni Kwa nguvu za wananchi mlitakiwa mrudishe Imani kwanza Kwa wananchi
 
Hichi Chama mda si mrefu kitakufa maana wanajifanya hawaoni ukweli halisi.
Yaani isife CCM ambayo viongozi wake wanaongoza Serikali inayopoteza trilioni za fedha kila mwaka( Kwa mujibu wa CAG) ije kufa CHADEMA?

Kama CHADEMA inakufa huku kuweweseka kwa CCM kunatokana na nini?
 
halafu Kibaraka anajifanya kama haelewi somo vile 🀣

ila hataamini macho yake, na ataongea sana wakati muafaka ukifika. Anasubiriwa afike mlangoni kabisa ndio aambiwe Ukweli, dah πŸ’
Akili huna wewe kama ulienda shule basi ulifaulu kwa kuiba mitihani yako. Kule mwalimu Nyerere ulikuwa una deseshw kama ulifika chuo
 
Akili huna wewe kama ulienda shule basi ulifaulu kwa kuiba mitihani yako. Kule mwalimu Nyerere ulikuwa una deseshw kama ulifika chuo
muerevu umejaa mihemko tu na makasiriko nonsense dah!

huna mawazo mapya wala fikra mbadala. umefikia ukomo wako wa mwisho kuwazaee 🀣

umebaki na ghadhabu tu dah, kufilisika huko kifikra ni hatari sana aise πŸ’
 
Wafu wanazikana,pipa na mfuniko!
Umenikumbusha wimbo wa Michael Jackson wa "Thriller" jinsi misukule ilivyokuwa inacheza huo wimboπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜€

Nikiona watu wanacheza ule wimbo wa CCM ni ile ile huwa nacheka tu.
 
muerevu umejaa mihemko tu na makasiriko nonsense dah!

huna mawazo mapya wala fikra mbadala. umefikia ukomo wako wa mwisho kuwazaee 🀣

umebaki na ghadhabu tu dah, kufilisika huko kifikra ni hatari sana aise πŸ’
Bora kufilisika kifikra lakini unajitambua kuliko wewe chawa wa kijani
Unashabikia watu kugombqna na kuwaita watu vibaraka. Nawewe ni nani sasa!
Kama mimi nimefilisika kimawazo wewe umefilisika nn?
Unataka mawazo na fikra mpya huku unashabikia chama kilichofilisika kifkra au hujui kwamba CHAMA CHA MANGURUWE NDICHO KINAFILISI NCHI HII KWA UFISADI?
wewe unadai you need vibrant opposition parts wakati vilivyopo unataka vile?
 
Endelea kujidanganya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…