Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Sidhani kama serikali ya JK na JK mwenyewe wana hata tone la hiyo aibu. Hata kama vyombo vyote vya habari vitaamua kutangaza kwamba JK amefanya huo ufirauni, hakuna chochote kitakachobadilika. Mbona watu wote wanajua kwamba Rostamu Azizi ni fisadi mkubwa lakini JK kaamua kulifumbia macho?
Mungu na Yesu ni wa chadema peke yako.
Well inawezekana pengine aliekamatwa ni yule aliehusika na kifo cha mhe wangwe ndio maana hatajwi jina anyway ngoja tusubiri.[/QUOTE
MTUME MOHAMMED NI WA CCM PEKEE
burn was a very nice fella before, sijui ni nini kimemkutaWho the hell is BURN? Nimeona ni mvurugaji kwenye mada nyingi, naomba tumpuuze tuzingatie mada zinazoletwa jamvini. Inaelekea ametumwa na hao wa jembe na nyundo.
:nono:Na tutadai uchaguzi urudiwe chini ya UN na si CCM.
MM,amepatikana central...
Kidogo kidogo sura halisi ya udictator wa jk na serikali yake unaanza kujidhihirisha. Tunaomba wadau mtupatie vielelezo zaidi na hata jina la mlengwa ili watu wavuvuzele peupe. Maana hakuna kitu mwizi asichopenda kama kujulikana kwa jamii inayomzunguka kuwa mwizi.