Elections 2010 CHADEMA yapotelewa na mmoja wao

Elections 2010 CHADEMA yapotelewa na mmoja wao

Hii sasa ni hatari. mtu kwaajili ya uzima ulionao sasa unajiona upo juu ya vitu vyote. Kumbuka utu wako si bora sana kuliko utu wa mwenzio. Roho yako si bora zaidi ya roho ya mwenzio. Mtu kutafuta haki yake si kosa. Kiongozi mzuri na mwenye busara ataongoza kwa haki na si kwa kisasi.
 
Sidhani kama serikali ya JK na JK mwenyewe wana hata tone la hiyo aibu. Hata kama vyombo vyote vya habari vitaamua kutangaza kwamba JK amefanya huo ufirauni, hakuna chochote kitakachobadilika. Mbona watu wote wanajua kwamba Rostamu Azizi ni fisadi mkubwa lakini JK kaamua kulifumbia macho?

Lazima afumbie macho mambo yeyote yanayomuhusu RA kwani RA ndio alihusika kwa kiasi kikubwa kufanikisha mipango ya ukwapuaji bot na KAGODA.
 
Mungu na Yesu ni wa chadema peke yako.

Well inawezekana pengine aliekamatwa ni yule aliehusika na kifo cha mhe wangwe ndio maana hatajwi jina anyway ngoja tusubiri.[/QUOTE

MTUME MOHAMMED NI WA CCM PEKEE
 
Who the hell is BURN? Nimeona ni mvurugaji kwenye mada nyingi, naomba tumpuuze tuzingatie mada zinazoletwa jamvini. Inaelekea ametumwa na hao wa jembe na nyundo.
burn was a very nice fella before, sijui ni nini kimemkuta

i think its just a wave ya bad air
 
Hii nchi sasa haikaliki tena kama ni hivyo nahisi hao ni watu wa TISS na watakuwa wanathibitisha kuhusika kwao na uchakachuaji wa matokeo.
 
Usimtenge jirani yako, kwani akiondoke utmtenga hata mkeo, na inteendelea hivyo hadi utajitenga mwenyewe. Hi kamata kamata ni mchezo mchafu kwani kama anayetoa mwongozo ni mmoja wamo ambao hawakubaliani na hayo maagizo na wanaweza waka nyamaza siku chache lakini ipo siku watamtolea uvivu. bahatimbaya ni kwamba vitengo kama JWTZ na TISS si vizuri kuwaingiza kwenye masuala ya kisiasa kama yanayo endelea tanzania. kwani nao ni binadamu kama wengine.
Siku watachapata wao hata kabla ya raia kujua nini kinaendelea. Ulizeni huko congo hadi leo hakuna mtawala. Naomba tuombee taifa hili, kusema sana hivi hakuta saidia wadau.
 
Sasa sijui tutakamatwa wote? Wana jf hapa ndipo naona umuhimu wa majina bandia vinginevyo na sisi tungetafutwa na kubambikiziwa kesi za uchochezi
 
Ikiwa ni kweli tuandamane nchi yote ili ulimwengu ufahamukinachoendelea. Na tutadai uchaguzi urudiwe chini ya UN na si CCM.
 
Wadau,

Jamani kuna mtu yoyote amepata jina au taarifa zozote kuhusu huyo kijana, bado tunasubiria, tujuzeni tafadhali...!
 
Mwanakijiji tupe taarifa mkuu maana inawezekana keshatoa siri za chama ndo kaachiliwa huko.
 
Kidogo kidogo sura halisi ya udictator wa jk na serikali yake unaanza kujidhihirisha. Tunaomba wadau mtupatie vielelezo zaidi na hata jina la mlengwa ili watu wavuvuzele peupe. Maana hakuna kitu mwizi asichopenda kama kujulikana kwa jamii inayomzunguka kuwa mwizi.

Nakuunga mkono ndugu yangu, kama ni kweli hakuna haja ya kuficha jina, watu waambie tuchachamae kama tulivyochamalia kura zetu majimboni, tukinyamaza waweza kuumaliza hawa
 
Jakaya Mrisho Kikwete wewe ni mtu hatari sana, mwaka 2005 ulitumia magazeti kuwachafua wana CCM wenzako ili kuupata urais, mwaka huu umetumia magazeti na mitandao kupandikiza mbegu ya udini, umetumia pia majeshi yote ya ulinzi na usalama kukandamiza wapinzani hasa Chadema, sasa umepewa urais na NEC unatumia majeshi kuanza kuteka watu, wewe hakika ni GAIDI kama alivyowahi kusema Mchungaji Mtikila. LAKINI KAMA MUNGU AISHIVYO MWISHO WAKO UTAKUWA MCHUNGU SANA.
 
Wadau, jina lake ni nani mtu huyu? Mbona jina halisemwii? kuna siri gani hapa?
 
Hii thread ni ovyo kuliko threads zote nilizowahi kuzisoma! Watu wanaongea robo robo kama wanaogopa vile
hii slogan haijajionyesha kwenye hii thread!

Hata Mwanakijiji naye anasema utadhani kawekewa kisu shingoni!
 
Kwanini mtu unasema jambo na kuweka mazingira ya kutaka kubembelezwa ili utoe information zaidi?
Kapatikana Central aliwekwa na nani, ilikuwaje?...tuongee kwa nia ya kujuzana, na si kutiana tashwishwi!...
Huyu mtu anaeitwa Burn hana malezi!...kufungiwa kwake ni busra tupu imetumika!
 
Back
Top Bottom