CHADEMA yashindwa kuwawekea mawakili George Sanga na wenzake. Huku makamanda wakila bata uraiani.

CHADEMA yashindwa kuwawekea mawakili George Sanga na wenzake. Huku makamanda wakila bata uraiani.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Mdude amesikitika sana.
👇
 

Attachments

  • Screenshot_20241115-153156.jpg
    Screenshot_20241115-153156.jpg
    478.9 KB · Views: 3
mnyika katunisha mashavu tule, analamba asali. tundu lisu atakuwa anapata shida sana kuishi kwenye ichi chama, wanafiki sana.
 
Hapo hutomuona yule mlevi wa mbege John Mrema kutoa ufafanuzi...

Maana hao sio wenzetu, walijichanganya.
 
Kwanini hamuwaulu Ccm kwa kuwashikilia kwa muda mrefu bila ushahidi?
 
Yaani akafanye uhalifu huko halafu uje huku usubiri chama kikuwekee mawakili? Wapambane na hali yao!
 
Mdude amesikitika sana.
👇
Chama kinapitia ukata mkubwa wa fedha na madeni makubwa na yasiyolipika kwasasa. Hakuna namna chadema inaweza kufanya chochote kwa sasa, labda Mdudu mwenyewe apitishe bakuli kwa wadau.

Chadema iko na umbwe la uongozi kwa sasa 🐒
 
Back
Top Bottom