CHADEMA yashtushwa na Fredrick Sumaye kutumia nembo ya Taifa kuitisha mkutano wake na Wanahabari

CHADEMA yashtushwa na Fredrick Sumaye kutumia nembo ya Taifa kuitisha mkutano wake na Wanahabari



mkutano ambao umeitishwa siku chache baada ya kushindwa katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, ambapo licha ya kuwa mgombea pekee, alipata kura 48 za hapana kati ya kura 76 zilizopigwa.



haya ndiyo yanaitwa mambo ya ki-intelijensia, safi sana chama changu CHADEMA.
 
Huyo alipandikizwa na mashamba anapewa mengine usishangae waliolipa hapo ni wale wale waliomtuma angetumia hiyo Nembo kwa kuongelea mema ya Chadema angeitwa kuhojiwa...
Tulijua
IMG-20191204-WA0034.jpeg
IMG-20191204-WA0033.jpeg
 
Chadema hachaneni na hawa watu

waliweza kuisaliti ccm ambayo ndio baba na mama yao, nini cha kuwastaajabisha?
Chukulia hapo ndio mtu keshapewa uenyekiti wa taifa alafu anaitisha press kjitoa chamani!
Cdm wamerisk katika hili lakini ni calculated risk na huenda 'ikawalipa' badala wa kuwagharimu. Time will tell
 
Nafikri ifike mahali serikali ikubali wazo la mgombea binafsi,, hivi vyama vimezidi ujinga bora mtu uongozwe na mkeo!
 

Vitu vingine huyu Sumaye anajidhalilisha na kuidhalilisha serikali.
Yaani PM mstaafu ambaye kwa mujibu wa katiba yetu bado analipwa stahiki zake kwa nafasi hiyo na pia anapewa ulinzi na serikali analalamika kwenye media kutishiwa maisha na 'Mtu' naye hachukui hatua yoyote ile.
May be,just may be...waliomuita Mr. Zero walikuwa sahihi.
 
Amejitambua. Analipwa na kodi zetu. Keshaona huko kuna njaa.
 
Kutumia nembo kuna shida gani?? Kwasababu yeye ni Waziri Mkuu Mstaafu msifikirie hicho ni cheo kidogo..ndani ya chadema hakuna watu wenye caliber hii ya Sumaye , Lakini nyie watu wa chadema mnashindwa kujiuliza kwann kila uchaguzi mnaanza maroroso kibao migogoro kibao huku mkifukuza watu na kuwawekea visa hapa na Pale..Hili halitawasaidia chochote...
 
Aisee itakuwa bavicha wote matokeo Yao ya form six yanafanana na mwenyekiti wao mbowe.. Hoja Yao kidoogo angeitoa mtu aliyepona mirembe nisingeshangaa
 
Hata hivyo aliwahi kusema alijiunga na Chadema ili kuimarisha Ccm. Hakuna LA kushangaza akirudi kwao.
Mzee wetu CCM bado wanakuhitaji - rudi nyumbani kutakuwa kumenoga !! sababu zilizokuondoa wameshazirekebisha.
 
Chadema kinakua chama cha kipumbavu sasa
Mkuu chadema ina makosa gani ? kama viongozi wa juu wametuzuia sisi wengine kugombea kanda ya pwani ili kumlinda Sumaye kwa heshima , kazi iliyobaki ilikuwa yake mwenyewe ya kushawishi wajumbe , ameangushwa kidemokrasia sasa Chadema inachoweza kufanya ni kumteua tu kwenye nafasi zingine , ni bahati mbaya kwamba amejiondoa .
 
Kuwa Waziri Mkuu mstaafu ndiyo kigezo cha kutumia nembo ya Taifa kwa maswala binafsi?
Kuna tatizo chadema lazima kujitafakari tusipoangalia Chama kitakua kama CUF, TLP au NCCR mageuzi wenye akili na busara walingalie suala hili kwa makini.
 
Sijui. Ila iwe amewahi au hajawahi bado haibadilishi kuwa yeye ni waziri mkuu mstaafu
Anayoongelea ni yanayohusiana na Uwaziri Mkuu wake au yanahusiana na siasa ndani ya chama chake?
 
Si ni Waziri Mkuu mstaafu au wamesahau!!!
Acha azeeke kwa kula bata la kustaafu.. Chadrama mnalia nyie ni [emoji1487][emoji3][emoji3][emoji3]
Bora uolewe labda utakua na adabu.
 
Back
Top Bottom