mkutano ambao umeitishwa siku chache baada ya kushindwa katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, ambapo licha ya kuwa mgombea pekee, alipata kura 48 za hapana kati ya kura 76 zilizopigwa.
TulijuaHuyo alipandikizwa na mashamba anapewa mengine usishangae waliolipa hapo ni wale wale waliomtuma angetumia hiyo Nembo kwa kuongelea mema ya Chadema angeitwa kuhojiwa...
Chukulia hapo ndio mtu keshapewa uenyekiti wa taifa alafu anaitisha press kjitoa chamani!Chadema hachaneni na hawa watu
waliweza kuisaliti ccm ambayo ndio baba na mama yao, nini cha kuwastaajabisha?
Mzee wetu CCM bado wanakuhitaji - rudi nyumbani kutakuwa kumenoga !! sababu zilizokuondoa wameshazirekebisha.
Mkuu chadema ina makosa gani ? kama viongozi wa juu wametuzuia sisi wengine kugombea kanda ya pwani ili kumlinda Sumaye kwa heshima , kazi iliyobaki ilikuwa yake mwenyewe ya kushawishi wajumbe , ameangushwa kidemokrasia sasa Chadema inachoweza kufanya ni kumteua tu kwenye nafasi zingine , ni bahati mbaya kwamba amejiondoa .Chadema kinakua chama cha kipumbavu sasa
Kuna tatizo chadema lazima kujitafakari tusipoangalia Chama kitakua kama CUF, TLP au NCCR mageuzi wenye akili na busara walingalie suala hili kwa makini.Kuwa Waziri Mkuu mstaafu ndiyo kigezo cha kutumia nembo ya Taifa kwa maswala binafsi?
Anayoongelea ni yanayohusiana na Uwaziri Mkuu wake au yanahusiana na siasa ndani ya chama chake?Sijui. Ila iwe amewahi au hajawahi bado haibadilishi kuwa yeye ni waziri mkuu mstaafu
Bora uolewe labda utakua na adabu.Si ni Waziri Mkuu mstaafu au wamesahau!!!
Acha azeeke kwa kula bata la kustaafu.. Chadrama mnalia nyie ni [emoji1487][emoji3][emoji3][emoji3]
John Mrema atulie asidhani sumaye ni Bavicha
Sumaye ni Waziri Mkuu Mstaafu mpeni heshima