Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
- Thread starter
-
- #21
kama ndiyo basi wakubali kumbe chadema ilishinda kwani huwezi ukawa na ushawishi wa kila sehemu kama hukubariki waipishe iongoze nchi.....
Hilo chama la Magamba limeshajiishia tunasubiri siku tu,maana linatapatapa tu,badala ya kutafuta chanzo na njia ya kumaliza migomo UDSM wao wanakimbilia CDM.majizi sana haya magamba,lakini hawajui ya kuwa wanajichimbia shimo kwa kufanya maamuzi ya kiuaji namna hiyo,huwezi kusema watu wasidahiliwe chuo chochote hapa nchini na watu wakaendelea kukufurahia,haki yao wanadai wanalipwa virungu,mabomu na maji ya kuwasha,ila wao hela za kulazimisha watanzania waone wameleta maendeleo tangu uhuru zilipatikana,kwani kulikuwa na haja gani kufanya sherehe zenye kugharimu pesa nyingi?ujinga wa magamba-ccm utatupeleka pabaya
Mimi nilikuwa nasubiri muda tu wala hii habari siyo ya kushangaza maana hata
kabla hazijaandikwa nilitaraji mwisho wa siku itakuwa hivi. Tukumbushane kabla
ya uchaguzi ni hawa hawa chama cha magamba waliwapeleka pale Diamond Jubilee
huku mgombea wao akiwa na bashasha tele kuwahakikishia kuwa suala la kukosa
mikopo litakuwa historia leo badala yake wamepelekewa POLISI wenye silaha
sijajua kama hela za ahadi ya mikopo ndizo wamenunulia silaha ua?Mimi
sioni logic ya kuwa na fikra fupi fupi kama mkia wa mbuzi ni wajibu wa watawala kuhakikisha elimu
na mikopo inatolewa kwa wakati kama walivyohakikishiwa wao mpaka leo wanaitwa
MAPROFESA MAWAZIRI WENGINE MARAIS, Mwl.Nyerere alifanya kazi na nakumbuka
katika moja ya mikutano yake alisema haelewi kwanini watu wanakimbilia IKULU
ilihali yeye amekaa pale miaka 25 hajaona faida zaidi ya mateso ya kifikra kutokana
na ufukara wa ANAOWATALA, mm nadhani watanzania wa leo si wale wakupewa
ahadi za KUTABIRI kama watawala walivyozoea ni wakati wa kuamka na kusonga
mbele hela za sherehe za mapinduzi na miaka hamsini ya uhuru ulioko kizani tunazo
hizi za kuwapa posho zao shahiki Madaktari na mikopo ya wanafunzi ni ngumu kuzipata,
viongozi waache kutumia MASABURI kufikiri watumie AKILI si kutafuta sababu fupi kama mkia wa
MBUZI
SWALI!
Kwanini vyuo vikuu karibia yote Nchini hawaipendi chama iliyo madarakani??
Ukishakuwa magamba lazima utakuwa kilaza
Hii serikali ya CCM imelaniwa,imeshindwa kutimiza mahitaji ya wanafunzi wanasema eti Chadema wanawashawishi wagome,wakati ujambazi wao,wizi wao na kukosa utu katika kutumia kodi za watanzania ndiyo unaosababisha matatizo yote hapa nchini.
jaman kuna mashoga humu,.yaan wadogo ze2 wanafukuza kwa kudai haki mnafananisha na chadema..njoo nikusugue kwa gunzi kwan naona basha lako halikutimizii vizuri..