CHADEMA=UDSM!!nahamini hki kitu kitakuwa sawa.
Nitaanza na vigezo vifuatavyo :-
1.Wote wana-tabia ya kudai haki kwa njia ya maandamano.
2.Wote ni waoga,wakitishiwa nyau tu wanarudi tunduni.
3.Viongozi wao ,wengi wao ni wanafiki.
4.Wanapenda sifa kwa wananchi.
5.Wote umaarufu unapotea au unapungua kwa speed ya ligh.
6.Maandamano yao uwa hayana mafanikio.
7.....
8,....
9.....
Ebu endelezeni ndugu zangu wapendwa!!
Kama unabisha,"raise intellectual defence".
SOURCE:wanaojielewa wote watakuwa na source.
Mzumbe=CCM
Hii haina ubishi, lakini kwa hoja yako nitakupa ushahidi kiduchu.
2006/2007, Sera ya cost sharing ilianza rasmi kwa wazazi/wanafunzi kujilipia 40%, Mzumbe=CCM walikubali, udsm=CDM walikataa. Mambo yaliyopingwa ilikuwa ni pamoja
1. Kupinga matumizi ya 40% strategy, kwani hayakuzingatia uhalisia wa mambo. hoja ni kuwa mtoto wa waziri alipiwe 60% na serikali, halafu mtoto yatima naye awe sawa na mtoto wa waziri? Tulipinga, mzumbe=CCM walituita tumeshindwa kusoma, ni wahuni.
2. Waliodahiriwa private university, BODI ilisema haihusiki, kwani kumsomesha mwanafunzi mmoja private, public umesomesha wawili.
=tulipinga kwa hoja kuwa, waliopata udsm na vyuo vingine vya umma vimewaacha kwa vigezo vya cut point, wengi wao wamesoma kwa shida na hivyo kupata matokeo mabaya, tuliilaumu CCM=MZUMBE, kwa kutokuwa na sera makini.
Kwa hayo mawili bado yapo au yametokomezwa? kumbuka katika yote Mzumbe=CCM waliita udsm wahuni, wameshindwa kusoma na mengine mengi. udsm walifukuzwa lakini baadae walirudi chuoni na mabadiliko kadhaa yalitokea, hadi leo watu wanapangiwa kujilipia kulingana na uwezo wao ingawa bado kuna mapungufu na vyuo vyote vya binafsi vimepata kibuli, ndio chanzo SAUT wanafungua vyuo kila kona ya nchi, kwani watakusanya ada na kumdu kuviendesha.