CHADEMA yatajwa mgomo chuo kikuu...

Watanzania wenzangu, hakuna aliye na atakaye kuwa na jipya ndani ya chama cha mapinduzi (ccm), hata awe nani na atoke wapi. Ccm ishakuwa corrupted completely and there's no way whatsoever it can come back to help us tanzanians. Cha msingi ni kutomchagua mgombea yeyote yule wa urais hata ubunge atokaye ccm kwa 2015 election. Rais wetu ni yule yule tuliyemchagua 2010 dr.slaa wa ukweli. Mtu mwenye uchungu na nchi yake na mtu asiye patana na wevi wa mali ya umma. Tukikosea tena basi tusimlaumu mungu. Mungu katupa akili ya kutambua mema na mabaya ili tukemee mabaya na si tuogope kukemea mabaya. Kama tunagopa kukemea mabaya then hatuna tofauti na wanyama wa porini! Let's remove and remove ccm once and for all!
 
Watu wangine bwana...kama mmelogwa!!Tukisema ubaya kuhusu cdm au udsm,lazima mukurupuke na kuanza kuharishia mdomo!
Kipi kibaya na cha-uzushi kuhusu hvyo vyama vikuu vya upinzani hapa nchini???
UDSM NI CDM B.
 

Na wewe unajihita intellectual? Nadhani ni matatizo ya ugonjwa wa kuhara...!!
 

10.Ubongo wako ni sawa na magugu maji 11.Wewe ni tegemezi au kula kulala 12.Hujielewi kabisa......................
 
Watu wangine bwana...kama mmelogwa!!Tukisema ubaya kuhusu cdm au udsm,lazima mukurupuke na kuanza kuharishia mdomo!
Kipi kibaya na cha-uzushi kuhusu hvyo vyama vikuu vya upinzani hapa nchini???
UDSM NI CDM B.

Kibaya ni upupu ulioandika.
 
Ni heri kuwa kilema wa kiungo kuliko kuwa kilema wa akili kama huyu ndugu ya aliyetuma hii thread.
 
Mzumbe == CCM


Kaka sio kweli achana na dogo, huyu dogo anaejiita mr mzumbe anatukosea heshima kaka zake tuliopita hapo, alumni wa mzumbe hatupo hivyo bana na tunaheshimu sana mchango wa udsm na vyuo vingine,, tatizo watoto wa vimemo vya mrope kuingia mzumbe ndo wana shida, kaka zake tuliingia na kusoma hapo na cut offs point za BAF miaka ya nyuma hatukuwa wapumbafu kihivyo,,
Dogo kimemo ndo kimemfanya asome mzumbe, wadau nawatahadharisha ukiona mtu wa mzumbe kilaza au anaongea ujinga ujue kapata chance ya kusoma mzumbe kwa kimemo,, but watabe wote wapo library wanasolve Chi Squre na cost account za ukweli, lol missing those days za darasa zima la BAF mweny maksi ndogo necta point 5,, after graduation auditing firms,,
 

Mzumbe=CCM
Hii haina ubishi, lakini kwa hoja yako nitakupa ushahidi kiduchu.

2006/2007, Sera ya cost sharing ilianza rasmi kwa wazazi/wanafunzi kujilipia 40%, Mzumbe=CCM walikubali, udsm=CDM walikataa. Mambo yaliyopingwa ilikuwa ni pamoja
1. Kupinga matumizi ya 40% strategy, kwani hayakuzingatia uhalisia wa mambo. hoja ni kuwa mtoto wa waziri alipiwe 60% na serikali, halafu mtoto yatima naye awe sawa na mtoto wa waziri? Tulipinga, mzumbe=CCM walituita tumeshindwa kusoma, ni wahuni.

2. Waliodahiriwa private university, BODI ilisema haihusiki, kwani kumsomesha mwanafunzi mmoja private, public umesomesha wawili.
=tulipinga kwa hoja kuwa, waliopata udsm na vyuo vingine vya umma vimewaacha kwa vigezo vya cut point, wengi wao wamesoma kwa shida na hivyo kupata matokeo mabaya, tuliilaumu CCM=MZUMBE, kwa kutokuwa na sera makini.

Kwa hayo mawili bado yapo au yametokomezwa? kumbuka katika yote Mzumbe=CCM waliita udsm wahuni, wameshindwa kusoma na mengine mengi. udsm walifukuzwa lakini baadae walirudi chuoni na mabadiliko kadhaa yalitokea, hadi leo watu wanapangiwa kujilipia kulingana na uwezo wao ingawa bado kuna mapungufu na vyuo vyote vya binafsi vimepata kibuli, ndio chanzo SAUT wanafungua vyuo kila kona ya nchi, kwani watakusanya ada na kumdu kuviendesha.
 
Kwani migomo chuo imeaanza baada ya chadema kuanzishwa!!!!!!!!!! mbona watanzania tuna mawazo ya kinafki hivyo!!!. Natoa tu angalizo kwa viongozi wetu kwamba haya mambo yanahitaji busara na hekima ili yawe yanaisha vizuri na kwa amani, lakini kwa jinsi yanavyofanyika ni sawa na kupiga msumari kwenye kidonda kikubwa ambacho kimeshaanza kuoza ukitegemea kitapona.
 
polisi wanazidi kumiminwa wakati fujo hakuna..mbona kodi zetu zinatumika vibaya..!!
 
Kama wanafahamika na wana ushahidi, wawafikishe court
 

u made my day mkuu.
CHADEMA walishindwa kabisa kuokoa watu siku ya mafuriko, mzee wa watu akanywa chai juu ya paa.
 

ngoja niwaeleze ukweli.
Viongozi wakubwa wa DARUSO, rais, PM, Spika na naibu wake, wote ni wana-UVCCM wazuri, na hiyo UVCCM ndiyo iliyowaweka madarakani ft. Kamanda wa UVCCM, wilaya ya K'Ndoni na baadhi ya madiwani wa Ubungo, mke wa Steven Wassira na viongozi wa tawi la CCM-Abiyani...
Vikao vya kupanga mkakati wa kuwaweka vilifanyika restaurant moja pale Mikocheni 'B', inaitwa Dar Carnival sijui. Waliohudhuria walichukuliwa na Land Cruiser Hard Top kutoka Campus na Mabibo Hostel mpaka eneo la tukio, miksa kipupwe cha kutosha.
Suala la uhusiano kati ya mgomo na CDM sijui unakujaje, wakati wafukuzwa wakubwa ni wadau wa gambaz?
Sijui...
 

mmmh kuna ukweli hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…