CHADEMA yatajwa mgomo chuo kikuu...

kama hali hiko hivi mbona wanapiga sarakasi za ajabu ajabu..kumbe hiki kigazeti chao kiko kitengo cha propaganda.
 
mkuu si unakumbuka mgogoro wa kufunga vyuo kipindi kile cha uchaguzi ili wasomi wa vyuo vikuu wasipige kura.

Walidhani ni njia mbadala ya kujipatia ushindi but haikuwasaidia bali msaada ukatoka kwa tume ya uchaguzi
 
kukatza watu wasidahiliwe chuo kingine chochote,kisa wamefukuzwa chuo kikuu cha Dar es salaam ni ukatili wa aina yake,hawa jamaa ukikwazana nao wanaweza kukufutia ata uraia.

Watakomalia maovu yote ila iko siku haki itasimama na wataumbuka
 
Mwisho wa ubaya ni aibu that is what im waiting siku ya aibu kwa hii ccm inayotunyanyasa na kutukandamiza
 
Mwisho wa ubaya ni aibu that is what im waiting siku ya aibu kwa hii ccm inayotunyanyasa na kutukandamiza

kila kukicha wanazua ukatili mpya na wa aina yake..yaani hatujui kitatokea kipi hadi kufika 2015..
 
kama hali hiko hivi mbona wanapiga sarakasi za ajabu ajabu..kumbe hiki kigazeti chao kiko kitengo cha propaganda.

ukweli ni kwamba CCM ina wenyewe, kama alivyosema yule Katibu wa Uenezi na Itikadi,
hao wengine wanatumika kama tissue, na kutupwa matumizi yao yanapokwisha. Hata hao unaowasikia huko mjini, pamoja na umasikini wao wa kutupwa, bado wanashabikia CCM, hawajui kuwa wanatumika na 'wenye uhai' wachache.
 
kamaa viongozi wa DARUSO wengi wao ni ccm damudamu lakini bado wamefukuzwa kama mbwa mwizi basi ccm ina wenyewe.
 
lakini mkuu, kipindi kile cha uchaguzi na baada ya uchaguzi kuwapata viongozi wa DARUSO mbona habari hizi hazikufahamika hata kidogo?

sifahamu aisee!
Ila what I knew ni kuwa wanafahamiana, ikawa rahisi ku-observe loyalty kwao. Kama unamfahamu Mongate, alinunuliwa siku mbili kabla ya uchaguzi, kwa garama ya ShT. 70'000/=. Wale wengine walikuwa wana-CCM waadilifu toka kale.
 
kamaa viongozi wa DARUSO wengi wao ni ccm damudamu lakini bado wamefukuzwa kama mbwa mwizi basi ccm ina wenyewe.

its a game of opportunity, wakikuhitaji wanakulambalamba. Wasipokuhitaji, you're pissed off negro...
 
When the empire ignores the warning it will crumble for ever.
 
MBUFYA..mbona haujaeleweka hapo mkuu..ulikua unamaanisha nini?
 
sifahamu aisee!
Ila what I knew ni kuwa wanafahamiana, ikawa rahisi ku-observe loyalty kwao. Kama unamfahamu Mongate, alinunuliwa siku mbili kabla ya uchaguzi, kwa garama ya ShT. 70'000/=. Wale wengine walikuwa wana-CCM waadilifu toka kale.

nakumbuka kipindi kile cha kampeini za uchaguzi,kijana mmoja (mpinzani mkuu wa kilawa kutoka law)alizushiwa kuwa ni uvccm hadi akajieleza na kujibu tuhuma hizo..kwa hali hii hawa vijana walioko madarakani (DARUSO) walipandikiza chuki hizi kwa maslai yao..
 
Ifikie kipindi ungozi wa chuo na serikali husika, wakae chini ili kutatua matatizo ya wanafunzi, haiwezekani migomo kila sku, kuna tatizo tena kubwa! inasikitisha sana kila siku wanafunzi wamefukuzwa chuo je tutafika? hata mkuu wa chuo kama si shinikizo basi nae achunguzwe vizuri.wanafunzi wataendelea kufukuzwa hadi lini, wakidai haki wanafukuzwa, kwa nini wabunge wakidai kuongewa posho hawafukuzwi? naomba nijibiwe au kuelimishwa, inaskitisha sana ndugu zangu
 
its a game of opportunity, wakikuhitaji wanakulambalamba. Wasipokuhitaji, you're pissed off negro...

hivi hawa vijana wanaonunulika kwa sh.70,000 wanaweza kweli kupigania maslai ya wengi.mimi nilishangazwa na hawa viongozi..pindi wale vijana wanafukuzwa walikaa kimya kabisa kama vile hawapo..eti wanaibuka juzi na kupitisha mgomo kiajabuajabu kabisa, baadhi ya wanafunzi wakashangazwa na hali hii,sijui ndizo hizo influence kutoka nje..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…