kwani wewe ulikuwa unasemaje mkuuKwa hisani ya JUNA:
"Leo Ndio nimeamini kuwa Chadema sio Chama Cha Siasa Bali ni NGO ya Wazungu, Yaani Makamu Mwenyekiti anawezaje kusema anataka Serikali ya Mpito itakayokuwa Nchini ya UN, Yaani Tanzania Leo iwe Koloni?
“CHADEMA inataka kuanzishwa kwa Serikali ya Mpito ambayo haitoongozwa na Samia Suluhu Hassan wala Serikali ya CCM, itakayoaminika na watanzania na jumuiya ya kimataifa”
“Itasimamiwa na mashirika ya kimataifa yenye kuamininika na yenye uwezo kama vile Umoja wa Mataifa, AU na SADC, itarejesha utulivu, haki za kisiasa na kiraia, itafungua anga la kisiasa na uhuru wa kujieleza, itaratibu uchaguzi mpya wa kitaifa kwa uwazi, uadilifu na uangalizi huru wa kimataifa”- John Heche.
🤣🤣🤣
Sasa hawa WAHUNI wanaoongoza sasa wana tofauti gani na WAKOLONI? Tena afadhali hata wakoloni walikuwa wanaleta maendeleo just imagine 1905 walikuwa washajenga reli....nyinyi mmbekidhiwa nchi miaka 64 mmeshindwa kuleta maji wakati tumezungukwa na water bodies kama zote.Kwa hisani ya JUNA:
"Leo Ndio nimeamini kuwa Chadema sio Chama Cha Siasa Bali ni NGO ya Wazungu, Yaani Makamu Mwenyekiti anawezaje kusema anataka Serikali ya Mpito itakayokuwa Nchini ya UN, Yaani Tanzania Leo iwe Koloni?
“CHADEMA inataka kuanzishwa kwa Serikali ya Mpito ambayo haitoongozwa na Samia Suluhu Hassan wala Serikali ya CCM, itakayoaminika na watanzania na jumuiya ya kimataifa”
“Itasimamiwa na mashirika ya kimataifa yenye kuamininika na yenye uwezo kama vile Umoja wa Mataifa, AU na SADC, itarejesha utulivu, haki za kisiasa na kiraia, itafungua anga la kisiasa na uhuru wa kujieleza, itaratibu uchaguzi mpya wa kitaifa kwa uwazi, uadilifu na uangalizi huru wa kimataifa”- John Heche.
🤣🤣🤣
Hafadhali ni kitu gani? Nyie kwa miaka 30 mlishindwa tu kuwa na ofisi yenye hadhi ya chama kikuu cha Upinzani pamoja na ruzuku mlizokuwa mnapata.Sasa hawa WAHUNI wanaoongoza sasa wana tofauti gani na WAKOLONI? Tena hafadhali hata wakoloni walikuwa wanaleta maendeleo just imagine 1905 walikuwa washajenga reli....nyinyi mmbekidhiwa nchi miaka 64 mmeshindwa kuleta maji wakati tumezungukwa na water bodies kama zote.
Kwa hisani ya JUNA:
"Leo Ndio nimeamini kuwa Chadema sio Chama Cha Siasa Bali ni NGO ya Wazungu, Yaani Makamu Mwenyekiti anawezaje kusema anataka Serikali ya Mpito itakayokuwa Nchini ya UN, Yaani Tanzania Leo iwe Koloni?
“CHADEMA inataka kuanzishwa kwa Serikali ya Mpito ambayo haitoongozwa na Samia Suluhu Hassan wala Serikali ya CCM, itakayoaminika na watanzania na jumuiya ya kimataifa”
“Itasimamiwa na mashirika ya kimataifa yenye kuamininika na yenye uwezo kama vile Umoja wa Mataifa, AU na SADC, itarejesha utulivu, haki za kisiasa na kiraia, itafungua anga la kisiasa na uhuru wa kujieleza, itaratibu uchaguzi mpya wa kitaifa kwa uwazi, uadilifu na uangalizi huru wa kimataifa”- John Heche.
🤣🤣🤣
Kwa hisani ya JUNA:
"Leo Ndio nimeamini kuwa Chadema sio Chama Cha Siasa Bali ni NGO ya Wazungu, Yaani Makamu Mwenyekiti anawezaje kusema anataka Serikali ya Mpito itakayokuwa Nchini ya UN, Yaani Tanzania Leo iwe Koloni?
“CHADEMA inataka kuanzishwa kwa Serikali ya Mpito ambayo haitoongozwa na Samia Suluhu Hassan wala Serikali ya CCM, itakayoaminika na watanzania na jumuiya ya kimataifa”
“Itasimamiwa na mashirika ya kimataifa yenye kuamininika na yenye uwezo kama vile Umoja wa Mataifa, AU na SADC, itarejesha utulivu, haki za kisiasa na kiraia, itafungua anga la kisiasa na uhuru wa kujieleza, itaratibu uchaguzi mpya wa kitaifa kwa uwazi, uadilifu na uangalizi huru wa kimataifa”- John Heche.
🤣🤣🤣
Hafadhali ni kitu gani? Nyie kwa miaka 30 mlishindwa tu kuwa na ofisi yenye hadhi ya chama kikuu cha Upinzani pamoja na ruzuku mlizokuwa mnapata.
Heche ana uwezo mdogo sana kiakili. Hajui kuwa UN, AU, SADC hata ICC ni taasisi za kihuni zisizo na meno? Huko DRC wakongomani wanauwawa kama nzi ila hizo jumuiya za kimataifa hakuna kitu wanafanya. Kimsingi CHADEMA ya sasa imejaa watu wenye uwezo mdogo sana wa kujenga hoja. Sugu yuko bize mitandaoni kutukana watu "matako".. Lema kawa nabii feki. CHADEMA chini ya Lissu ni kituko.
Ofisi inasaidiaje shughuli za chama mbona dawasa wanamajengo mazuri Ila Maji hamna?Hafadhali ni kitu gani? Nyie kwa miaka 30 mlishindwa tu kuwa na ofisi yenye hadhi ya chama kikuu cha Upinzani pamoja na ruzuku mlizokuwa mnapata.
Ofisi inasaidiaje shughuli za chama mbona dawasa wanamajengo mazuri Ila Maji hamna?
True..hata Mama Abduli ana maofisi makubwa, magari ya kifahari, na wasaidizi wasomi, lakini vyote hivyo havina msaada katika maamuzi na matamshi yake.
Usishindane na hii chama nakuonya utakufa na kukiacha, hivi kama Mwalimu akikubri na kukipa baraka zote ,wewe kidampa hupo na lipi kwa chama ichi, yoyote anenae mabaya kwa chama ichi atakufa vibaya mnoKwa hisani ya JUNA:
"Leo Ndio nimeamini kuwa Chadema sio Chama Cha Siasa Bali ni NGO ya Wazungu, Yaani Makamu Mwenyekiti anawezaje kusema anataka Serikali ya Mpito itakayokuwa Nchini ya UN, Yaani Tanzania Leo iwe Koloni?
“CHADEMA inataka kuanzishwa kwa Serikali ya Mpito ambayo haitoongozwa na Samia Suluhu Hassan wala Serikali ya CCM, itakayoaminika na watanzania na jumuiya ya kimataifa”
“Itasimamiwa na mashirika ya kimataifa yenye kuamininika na yenye uwezo kama vile Umoja wa Mataifa, AU na SADC, itarejesha utulivu, haki za kisiasa na kiraia, itafungua anga la kisiasa na uhuru wa kujieleza, itaratibu uchaguzi mpya wa kitaifa kwa uwazi, uadilifu na uangalizi huru wa kimataifa”- John Heche.
🤣🤣🤣
Hao jamaa wangese sana,hicho chama kifutweKwa hisani ya JUNA:

Una hoja ya kipumbavu sana.Ofisi inasaidiaje shughuli za chama mbona dawasa wanamajengo mazuri Ila Maji hamna?