PostGE2025 CHADEMA yataka Tanzania iongozwe na UN au SADC

PostGE2025 CHADEMA yataka Tanzania iongozwe na UN au SADC

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
heche alitoa tamko chini ya mtutu wa wazungu
 
Kwa hisani ya JUNA:

"Leo Ndio nimeamini kuwa Chadema sio Chama Cha Siasa Bali ni NGO ya Wazungu, Yaani Makamu Mwenyekiti anawezaje kusema anataka Serikali ya Mpito itakayokuwa Nchini ya UN, Yaani Tanzania Leo iwe Koloni?

“CHADEMA inataka kuanzishwa kwa Serikali ya Mpito ambayo haitoongozwa na Samia Suluhu Hassan wala Serikali ya CCM, itakayoaminika na watanzania na jumuiya ya kimataifa”

“Itasimamiwa na mashirika ya kimataifa yenye kuamininika na yenye uwezo kama vile Umoja wa Mataifa, AU na SADC, itarejesha utulivu, haki za kisiasa na kiraia, itafungua anga la kisiasa na uhuru wa kujieleza, itaratibu uchaguzi mpya wa kitaifa kwa uwazi, uadilifu na uangalizi huru wa kimataifa”- John Heche.

🤣🤣🤣
Hii kazi uliyopewa na kihongozi kuichafua cdm mitandaoni ni ngumu mno kuliko ngozi ya yako lako! Imeshawashinda kabla hamjaianza kwani haina msingi na mizizi ya kuishikilia.
Nakushauri tu, tafuta shughuli ya kukuingizia kipato mapema kwani fungu la mwenezi Kihongosi limefutwq na hakuna mfadhili. Cdm hamtaiweza hata mkajaa Kila jukwaa la kijamii. Kwa huamini, kamuulize Magufuli na Polepole.
Hangaikeni na ccm yenu mnayoogopa Hadi vikao na sare zenu mabata ninyi!
 
Back
Top Bottom