CHADEMA yatangaza kuanzisha Operesheni Maalum nchi nzima kwa Mwaka Mzima bila kukoma

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza Operesheni kabambe ya kuzunguka Nchi nzima kuelimisha na kuamsha wananchi Nchi nzima.

Operesheni hiyo ambayo Jina lake linahifadhiwa kwa sasa imetangazwa na Mwenyekiti wa Chama hicho , Freeman Mbowe alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari Jijini Arusha.

Mh Mbowe amesema kwamba Operesheni hiyo ni matunda ya Kikao cha Kamati Kuu kilchoketi Mjini Iringa kwa siku 2 kabla ya Mikutano ya hadhara ya Kanda ya Nyasa, ambako amedai kwamba Pazia la Operesheni hiyo litafunguliwa rasmi mwisho wa mwezi huu huko Mkoani Kigoma, na hatimaye kuvuruga kanda ya ziwa Victoria hadi kanda ya Serengeti.

Ikumbukwe kwamba baada ya kuanza operesheni hiyo haitasimama kwa mwaka mzima, ambapo imepangwa kufika kwenye Mikoa, Wilaya, Kata, Vijiji , Vitongoji na Mitaa yote iliyoandikishwa Nchini Tanzania.

Malengo Makuu ya Jambo hili la gharama kubwa ni kuhakikisha kwamba Moto wa kudai KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI unawafikia watu wote wa kada zote Nchi Nzima.

Mungu ibariki Chadema.

View attachment 2538631
Mungu ibariki CHADEMA [emoji1752][emoji1545]
 
Tupo nyuma ya CDM hadi mambo mazuri yatokee. Hongera CDM!
 
Kwa wale wasiojua ni operesheni kuhusu nini naomba niwafafanulie... ni operesheni ya kuhakikisha Mama Samia anashinda kwa kishindo mwaka 2025. Kimsingi tarehe kamili ya kuanza operesheni ni tarehe 08/03/2023 mkoani Kilimanjaro kwenye mkutano wa BAWACHA. Ushahidi usiotia shaka kuhusu hiki ninachowaambia ni Mama kualikwa kama mgeni rasmi kwenye mkutano huo.

Nawasihi watanzania wote kwa sasa tumuunge mkono Mheshimiwa Mbowe kwasababu anaupiga mwingi. Hata hizi kauli tata za Lema ni mkakati wao maalum wa kumuongezea Mama kura. Tunawashukuru sana. Mimi nimeshamwelewa Mbowe na Lema hivyo tuwaunge mkono wanatusaidia 2025.
Samia hatogombea 2025
 
naziona Chopa angani, kama kawaida lazima Mwenyekiti awakopeshe na kukidai Chama.
 
Wewe ulitaka wasipokee? Mazingira ya siasa yanabadilika Kila siku
 
Shukrani sana kamanda kwa Taarifa, uzuri chadema haijawahi kufeli kwenye operation zake...hao chawa wa mama acha waendelee kubeza , 2024 chaguzi za serikali za mitaa na vijiji na ile ya 2025 ndo watajua hawajui ... Kama hiyo operation itafanyika ipasavyo kbs, binafs nauona uchaguzi mkuu wa 2025 chadema ikichukua nchi kiulaini mnoo ...ni uchaguzi mwepesi kwetu sisi wapinzani hasa chadema kuliko ule wa 2015 enzi za Lowassa..
Uzuri chadema ina mtaji wa watu wa kufanya kz za chama Tena kwa kujitolea kuliko chama chochote Cha siasa hapa nchini..
2025 ni zamu ya chadema kuiongoza hii nchi, chadema iko tayari kuongoza nchi bila longo longo....M/Mungu ibariki chadema kwa ujumla

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Operesheni ya kumnanga Magufuli.

Ok.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza Operesheni kabambe ya kuzunguka Nchi nzima kuelimisha na kuamsha wananchi Nchi nzima.

Operesheni hiyo ambayo Jina lake linahifadhiwa kwa sasa imetangazwa na Mwenyekiti wa Chama hicho , Freeman Mbowe alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari Jijini Arusha.

Mh Mbowe amesema kwamba Operesheni hiyo ni matunda ya Kikao cha Kamati Kuu kilchoketi Mjini Iringa kwa siku 2 kabla ya Mikutano ya hadhara ya Kanda ya Nyasa, ambako amedai kwamba Pazia la Operesheni hiyo litafunguliwa rasmi mwisho wa mwezi huu huko Mkoani Kigoma, na hatimaye kuvuruga kanda ya ziwa Victoria hadi kanda ya Serengeti.

Ikumbukwe kwamba baada ya kuanza operesheni hiyo haitasimama kwa mwaka mzima, ambapo imepangwa kufika kwenye Mikoa, Wilaya, Kata, Vijiji , Vitongoji na Mitaa yote iliyoandikishwa Nchini Tanzania.

Malengo Makuu ya Jambo hili la gharama kubwa ni kuhakikisha kwamba Moto wa kudai KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI unawafikia watu wote wa kada zote Nchi Nzima.

Mungu ibariki Chadema.

View attachment 2538631
Fafanua kwanza kuhusu ruzuku,tunachukua au!?
 
Mimi nadhani operesheni ya msingi inayohitajika kwa sasa kama Taifa lingekuwa na watu wenye akili ni kuielimisha na kuiamusha CHADEMA na kuwaeleza wazi kwamba wamepoteza credibility ya kuitwa Chama cha Upinzani na hawana uwezo wa kutoa Uongozi mbadala kwa Taifa!

CHADEMA sasa ni wachumia tumbo tu na ACT Wazalendo sasa wanaendesha siasa za " uke wenza" za kugombea mume ( soma hiyo barua ya ACT Wazalendo iliyosainiwa na Bimani)!

Kwa sababu ya Watanzania wengi na hasa wanasiasa wa upinzani kuwa na njaa sana vichwani na tumboni NCHI HII HAIWEZI KUPATA AU KUJENGA VYAMA VYA UPINZANI VYA MAANA AU VYAMA VYENYE KUWEZA KUTOA UONGOZI MBADALA!

Kwa yanayoendelea CHADEMA kwa sasa naomba nimsikilize sasa JOHN HECHE akiongea maana huwa ni mzuri sana kuropoka ropoka na ka- degree kake ka Education ka SAUT!

Umeona watu wenye akili kama TUNDU LISSU amekuja kwa mbwembwe kutoka Ubelgiji baada ya " ku- test water" na kujua " michongo" inayoendelea kwa ground amerudi Ubelgiji kimya kimya na kwa aibu kubwa!!!
 
Iitwe Oparesheni KATA FUNUA
 
umeishia darasa la ngapi ?
 
Sema CCM na CHADEMA. Au umesahau maridhiano kamanda!
 
Back
Top Bottom