Pre GE2025 CHADEMA yatangaza maandamano majiji matatu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na saizi Polisi Wala hawataqagusa msije kupata kiki,nyie andamaneni mkirudi endeleeni na maisha.

Ila wajinga ni wale ambao wanaacha kazi zao eti wanaandamana wakati Wanasiasa hapo wako kazini na wanalipwa kuandamana.

Mwisho msivuruge tuu amani ya Nchi mtanyooshwa.
 
Tunataka mrishonyuma wa maandamano ya Dar kwanza. Mlifanikiwa nini na mnataka maandamano huku Mwanza ili mpate nini na sio kuwahangaisha vijana majobless!
 
Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maandamano ya awali niliyapinga. Lakini nimejifunza kwamba maisha ni yanazidi kuwa magumu na hayahimiliki. Maandamano ni muhimu sana kwa Sasa. Hali ya maisha inatisha
Endelea kujidanganye usifanye kazi kwa bidii hao wanaokuambia maandamano wanasubir mpuuz kama ww ujichanganye wakutumie km ngazi ukimaliza uchaguz wanapeleka wake zao na vimada vyao bungeni jielewe nn unafanya
 
Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watazid kunyooshwa wakati hawajielew wanasiasa ukimaliza uchaguzi wanapeleka vimada vyao bungeni wajinga ndio waliwao
 
Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
Moshi Manispaa Kwa Mbowe maandamano hayapo

Hiyo ratiba ni batili waarusha na Masai na Wasukuma na Wanyakyusa msitoke kuandamana.

Akina Mbowe na Lema wachaga wasiwafanye nyie dampo la maandamano kwao Moshi hawaweki
 
Wajinga wachache wa ccm watapuuza habari hizi nyeti, kila mwenye akili timamu ataunga mkono hoja hizi

Maisha magumu haiwezekani kwa kila mtz, hata ccm wanaunga mkono kauli mbiu hii

Chadema mpango mzima
 
Huko kwenye ziara za Makonda watu hawaachi kazi?
 
Moshi Manispaa Kwa Mbowe maandamano hayapo

Hiyo ratiba ni batili waarusha na Masai na Wasukuma na Wanyakyusa msitoke kuandamana.

Akina Mbowe na Lema wachaga wasiwafanye nyie dampo la maandamano kwao Moshi hawaweki

Mkuu Bado hujasema, Waite na wale wenzako waseme ni maandamano ya wachaga wakristo, lakini maandamano yako pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…