Muhumba wa Mukinyaa
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 683
- 1,251
Hongereni CHADEMA kwa kupanga kutumia HAKI yenu ya Kikatiba ya KUANDAMANA na kuwasilisha MADAI yenu kwa AMANI..KUDOs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na saizi Polisi Wala hawataqagusa msije kupata kiki,nyie andamaneni mkirudi endeleeni na maisha.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema lengo la maandamano ni kuishinikiza serikali kuweka mpango wa kupunguza ugumu wa maisha, kufanya marekebisho ya kikatiba yenye kuwezesha uchaguzi huru na haki na kuendeleza mchakato wa katiba mpya.
Ulitaka washindie nini? Baga wawe na mitumbo kama Boni au?Habari njema kwa WaTanzania wote....watu wanashindia uji na matunda pori
Raila Yana vurugu,huku wakithubu kuleta vurugu watashughulikiwa wajuteMnaiga kwa Raila
Tunataka mrishonyuma wa maandamano ya Dar kwanza. Mlifanikiwa nini na mnataka maandamano huku Mwanza ili mpate nini na sio kuwahangaisha vijana majobless!Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema lengo la maandamano ni kuishinikiza serikali kuweka mpango wa kupunguza ugumu wa maisha, kufanya marekebisho ya kikatiba yenye kuwezesha uchaguzi huru na haki na kuendeleza mchakato wa katiba mpya.
Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.[emoji419][emoji375]Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.

Endelea kujidanganye usifanye kazi kwa bidii hao wanaokuambia maandamano wanasubir mpuuz kama ww ujichanganye wakutumie km ngazi ukimaliza uchaguz wanapeleka wake zao na vimada vyao bungeni jielewe nn unafanyaMaandamano ya awali niliyapinga. Lakini nimejifunza kwamba maisha ni yanazidi kuwa magumu na hayahimiliki. Maandamano ni muhimu sana kwa Sasa. Hali ya maisha inatisha
Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.[emoji419][emoji375]Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema lengo la maandamano ni kuishinikiza serikali kuweka mpango wa kupunguza ugumu wa maisha, kufanya marekebisho ya kikatiba yenye kuwezesha uchaguzi huru na haki na kuendeleza mchakato wa katiba mpya.
Na saizi Polisi Wala hawataqagusa msije kupata kiki,nyie andamaneni mkirudi endeleeni na maisha.
Ila wajinga ni wale ambao wanaacha kazi zao eti wanaandamana wakati Wanasiasa hapo wako kazini na wanalipwa kuandamana.
Mwisho msivuruge tuu amani ya Nchi mtanyooshwa.
Wakaandamane harafu jioni watupe hesabu ya walichovuna 🤣🤣Watazid kunyooshwa wakati hawajielew wanasiasa ukimaliza uchaguzi wanapeleka vimada vyao bungeni wajinga ndio waliwao
Moshi Manispaa Kwa Mbowe maandamano hayapoMwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vinachungulia kwa mbali kama weviHaya sasa tumeni vile Vyama 13 vije kuyakana tena Maandamano yetu ya Amani, bila kusahau Wanajeshi wa Chalamila.
Na saizi Polisi Wala hawataqagusa msije kupata kiki,nyie andamaneni mkirudi endeleeni na maisha.
Ila wajinga ni wale ambao wanaacha kazi zao eti wanaandamana wakati Wanasiasa hapo wako kazini na wanalipwa kuandamana.
Mwisho msivuruge tuu amani ya Nchi mtanyooshwa.
Moshi Manispaa Kwa Mbowe maandamano hayapo
Hiyo ratiba ni batili waarusha na Masai na Wasukuma na Wanyakyusa msitoke kuandamana.
Akina Mbowe na Lema wachaga wasiwafanye nyie dampo la maandamano kwao Moshi hawaweki