Pre GE2025 CHADEMA yatangaza maandamano majiji matatu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kule wanapata utatuzi,Sasa kwenye maandamano ya Chadema wanapata nini?

Mlivyoandamana Dar mumepata mlichoandamania? 😁😁

Wapumbavu ndio waliwao

Cdm hawandamani kutafuta sifa, Bali wanaandamana ili kupatikana mabadiliko ya mifumo, na kukabiliana na ugumu wa maisha. Yaani wao wanapambania mabadiliko ya kweli ya muda mrefu, na sio kuhadaa watu kwa muda mfupi Ili wapate kura. Hiyo ndio tafauti.
 
Mifumo ipi inayoleta maisha Bora? Nitajie hizo Nchi zilibadili mifumo ipi na mIsha yakawaje nikupe data
 
Mifumo ya kiwajibikaji huleta maisha Bora. Sio mifumo inayategemea hisia za mtu. Kwenye mifumo dhabiti huwezi kusikia lugha za kipuuzi kuwa sileti maendeleo maana mmewachagua wapinzani. Huwezi kusikia serekali Leo inasema hivi kisha kesho inasema jambo jingine bila hatua kuchukuliwa kwa wahusika.
 
Kama Nchi gani hapa Afrika
 
Kule wanapata utatuzi,Sasa kwenye maandamano ya Chadema wanapata nini?

Mlivyoandamana Dar mumepata mlichoandamania? 😁😁

Wapumbavu ndio waliwao
Mkuu, you normally sound much better unapoitetea serikali kwa facts, data na vielelezo kuhusu uchumi, miradi na juhudi mbalimbali.

Hii mipasho na vijembe vya kuwaponda CHADEMA/Mbowe waachie kina jilala, mwashamba, etwege & co. Ndio zao hizo. Wewe inakushusha CV. Au hakuna division of labour huko?
 
Maandamano ya kuishinikiza serikali hayawezi kuwa maandamano ya amani hata kidogo.

Serikali haishinikizwi kwa amani popote duniani.

Hayo ni maridhiano siyo maandamano.
Hayo ni maandamano ya enzi za ujima.now days thing's changes bwana
 
Back
Top Bottom