Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #101
Hili ndio swali zuri kuwahi kuulizwa tangu mwaka huu uanze , hongera sana mkuuHivi ukiwa mwanachama kuna malipo yeyote unapata?
FafanuaHizi zote ni dalili za kutopenda/kutoheshimu siasa za ushindani.
Tualia Kwa sababu wapinzani tunawahitaji wakuchangamsha genge kidogoSasa ccm mnalia nini ?
Kitu pekee ambacho kinaweza kutokea wakishinda rufaa ( japo hilo halipo ) ni kurejeshewa uanachama , si kurejeshewa uongoz
Hawawezi kurejeshewa uwanachama kwani wameingia bungeni hivyo wamerehisishia Baraza Kuu kufanya maamuzi kwani nia yao ni Ovu ni ubunge tuu wala siyo kutumikia wananchi, maslahi yao binafsi. Baraza litawafukuza mapemaaaaKitu pekee ambacho kinaweza kutokea wakishinda rufaa ( japo hilo halipo ) ni kurejeshewa uanachama , si kurejeshewa uongozi
Mungu yupi anawapa tunu walevi?MH MBOWE NI TUNU TULIYO PEWA NA MWENYEZI MUNGU KAMA TAIFA LA TANZANIA.
Afadhali walevi kuliko wewe mwiziMungu yupi anawapa tunu walevi?
Mamako na babako walikufa mara 2????Tangu lini maiti ikafa
Kwani hiyo rufaa itasikilizwa na ndungai? Hao covid 19 wameshaunga juhudi ndiyo maana Bikidude amefutiwa mashtaka ya kumtukana mkulu, angekuwa bado Chadema angefungwa jela tu.Wakishinda rufaa itakuwaje? Mnaingia na matokeo ya rufaa mfukoni. Hawa wamama ni vichwa wa cdm nauona mpango wa mbowe kuiua cdm ukikamilika
Wabunge wa AyubuKwa hiyo kina Mdee wanakuwa ni kina nani!!??
ni wabunge ama wageni wa bunge.....
hiki ni kituko cha karne
KWA wana lumumba wana Mungu waoMungu wa Ibrahim,Mungu wa Isaka,Mungu wa Yakobo ambaye alikuwepo,yupo na yupo daima.
Tena corona inamuandamaAkili mbovu, chadema haifi utafariki wewe hapo
Ni kufukuza hayo mapandikizi ya lumumbaTunawakumbusha kwamba tumebakiwa na masaa machache tu