Elections 2010 Chadema yatetea jimbo la Karatu

Elections 2010 Chadema yatetea jimbo la Karatu

MTOKAJASHO

Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
12
Reaction score
0
Habari zilizotufikia hivi punde chadema yapeta Karatu... more details to come mitaa ya karatu ya zizima kwa vifijo. Kura za urais Dr slaa yupo juuu sana.
 
Karatu hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! :yield:
 
Habari zilizotufikia hivi punde chadema yapeta Karatu... more details to come mitaa ya karatu ya zizima kwa vifijo. Kura za urais Dr slaa yupo juuu sana.

It was expected, kama Pemba inavyojulikana ni ya CUF. na Bagamoyo ya CCM.
 
Shukrani kwa taarifa za mabadiliko 2010
 
Habari zilizotufikia hivi punde chadema yapeta Karatu... more details to come mitaa ya karatu ya zizima kwa vifijo. Kura za urais Dr slaa yupo juuu sana.

Ahsante sana kwa habari hizi zenye nguvu na matumaini kwa Wa-Tanzania wapenda mabadiliko.
 
It was expected, kama Pemba inavyojulikana ni ya CUF. na Bagamoyo ya CCM.

Mmh Kasheshe si JK alikuwa huko juzi tu mkasema mara kafunika, kafuta nyayo za slaa, chadema kwa her!
 
Wala sishangai mkuu, ni kama kumshangaa mzungu ulaya si ndo kwao? Wala sikuwa na wasiwasi!
 
weraweraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa karatu juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mapinduzi juuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Karatu hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! :yield:

oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee:rip::rip:ccm
 
URAIS, UBUNGE na pia viti vyote 14 vya UDIWANI vimekwenda CHADEMA....
 
Karatu nasikia wamesomba kila kitu Urais hadi udiwani CHADEMA, aiseeeeeeeeeeeee
 
bagamoyo lazima wampe jk, aliwachimbia vyoo viwili for 1.4bil. tehehehehe
 
Sina neno zaidi ya kumshukuru Mungi!
Dr Slaa...suti yangu ipo tayari kwa uapisho wako.
 
Back
Top Bottom