CHADEMA yatishia Maandamano nchi nzima kufufua mchakato wa Katiba Mpya na Lissu aachaliwe

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Your browser is not able to display this video.


Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kimetishia kuandaa maandamano ya nchi nzima yenye lengo la kushinikiza serikali kufufua mchakato wa Katiba Mpya na kuachiliwa huru kwa Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche ndiye ambaye ametangaza azma hiyo ya Chadema ya kuitisha maandamano nchi nzima, wakati akihutumia maelfu ya wananchi katika kituo cha mabasi cha Kabwe jijini Mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…