Pre GE2025 CHADEMA yatoa wito kwa Rais Samia avunje Jeshi la Polisi na aliunde upya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mh! kama anawatuma yeye? nasema KAMA, siyo kuwa anawatuma yeye. Ila kama anawatuma yeye, atalisuka kweli? Maana ukimya wake huu siyo bure even a fool can make sense out of this ukimya!
Alishalipongeza kwa kazi nzuri, Mrema unategemea lolote toka kwake? Erythrocyte
 
Huyo mnayemshauri nae ni sehemu ya tatizo.Hana uthubutu huo.
 
Nakushangaaa sana mkuu si juzi tu Tulia kakataa lisijadiliwe swala la kutekwa watu na akisema Hana taarifa kama Kuna watu wamepotea ama kutekwa.


Si Hawa tunawatuhumu kila leo kuwa wanatumiwa na ccm. Una uhakika atafanya hivo ama ni kutwanga maji kwenye kinu Cha udongo wa mfinyazi
 
Tunasubiri majibu kwa mch msigwa!
 
Intelijensia ya polisi ipo vizuri na Nchi ipo salama isipokuwa vijiutekaji tu vinasumbuasumbua.
Tangu tulipoifanya kazi ya hawa bwana kuwa ni ya watu wasio na uwezo wa akili, ndipo tulipokosea. Ndiyo maana kila mara tunashuhudia matukio ya hovyo yakifanywa na haya majitu.

Zile sababu alizozitoa Simbachane kuwa haiwezekani umchukue mtu mwenye akili kwenda kulinda benki, hivyo ni lazima uwachukue wasio na akili, siyo fikra sahihi. Mtu asiye na akili, tegemea kuna uwezekano wa kufanya jambo lolote wakati wowote, baya au zuri. Maana kichwani mwake kunakuwa hakuna mpangilio.

Tulifute hili jeshi la sasa, tuunde jipya litakalosheheni watu wenye akili nzuri. Kwa sasa tunao wasomi wengi hawana kazi, watakubali kuwa kufanya hii kazi. Na mambo ya kiusalama ya nyakati hizi yanahitaji sana akili kuliko nguvu.
 
Sisi kazi yetu ni kuanika maovu, sasa yeye akipuuza atavuna alichopanda
 
Labda kawatuma jiongeze
 
Alowatuma ndo unamshauri afanye hiki na kile wakati mchezo mzima anaujua
 
Imefika mahali wanakaa na kutunga uongo na wanaweka Public?

Jeshi limepoteza hadhi yake sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…