Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
AmenPoleni sana Wana ganang'
Chama kikipoteza muelekeo utaona hata wanachama wanajitahidi kutafuta matukio sasa salamu si ni jambo jema lipi la ajabu hapo!Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa chama cha kwanza cha siasa Nchini Tanzania kutuma rambirambi zilizoambatana na salamu za pole kufuatia mafuriko makubwa yaliyotokea huko Hanang na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 20 , huku watu wengine wakiwa hawajulikani walipo.
Taarifa yao hii hapa.
View attachment 2832366
Nakushangaa weweChama kikipoteza muelekeo utaona hata wanachama wanajitahidi kutafuta matukio sasa salamu si ni jambo jema lipi la ajabu hapo!
Chama cha watu.....vijana tujitokeze kuokoa Watanzania wenzetu kwa hali na maliChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa chama cha kwanza cha siasa Nchini Tanzania kutuma rambirambi zilizoambatana na salamu za pole kufuatia mafuriko makubwa yaliyotokea huko Hanang na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 20 , huku watu wengine wakiwa hawajulikani walipo.
Taarifa yao hii hapa.
View attachment 2832366
Wivu tuUsilete siasa kwenye masuala ya maafa na maisha ya watu. Ndio shida yenu ninyi Machadema kuleta siasa hadi kwenye vifo vya watu utafikiri mnaombeaga nakusubili maafa na majanga yatokee ili mpate hoja ,hasa baada ya kuwa na ukame wa hoja na kufirisika kisera kwa chama Chenu.
Nani kakwambia kuna mashindano ya kutoa salamu za pole na rambirambi mpaka useme mmekuwa wa kwanza?
Kwani sasa hujuwi kinachoendelea na kinachopiganiwa ni kuokoa maisha ya watu,kutafuta waliopotea na hawajulikani walipo,kutoa huduma za haraka kwa majeruhi,kuzuia na kuwaondoa walio katika maeneo hatarishi zaidi,kutoa misaada ya kibinadamu kwa ambao makazi yao yameharibiwa na kusombwa na maji?
Kazi hiyo imeanza kufanywa na CCM mkoa tangia zilipotoka taarifa ya janga hilo.hiyi ndio kazi inayoendelea kufanywa na CCM kwa kushirikiana na wananchi wa huko,tofauti na ninyi mnaipiga porojo huku mkiwa kwenye makochi yenu na kunywa mipombe yenu.
Acheni na msilete siasa kwenye maisha ya watanzania,ndio maana mnapuuzwa sana na watanzania.nani kawaambieni kuna riadha ya kuwahi kutoa taarifa za pole.kwa sasa riadha iliyopo ni kuokoa maisha ya watu na kuwasaidia wahanga.
Ndio maana Rais Wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan yupo njiani kurejea nchini ili aende eneo la tukio na wakati huo huo tayari ameshatoa maagizo mazito yaliyowatetemesha watendaji wa serikali ili wafike haraka sana eneo la tukio.
Kipara kipyaaaaa.....nendeni wewe na Makonda mkatangaze itikadi huko HanangChama kikipoteza muelekeo utaona hata wanachama wanajitahidi kutafuta matukio sasa salamu si ni jambo jema lipi la ajabu hapo!
Wivu wa nini tena kwa chama kilichojichokea kama CHADEMA.???Wivu tu
Achana nacho hapa kwenye uzi unatafuta nini?Wivu wa nini tena kwa chama kilichojichokea kama CHADEMA.???
Risala ndefu lakini pumba tupu , ni lini Makonda ataenda na Punda ?Usilete siasa kwenye masuala ya maafa na maisha ya watu. Ndio shida yenu ninyi Machadema kuleta siasa hadi kwenye vifo vya watu utafikiri mnaombeaga nakusubili maafa na majanga yatokee ili mpate hoja ,hasa baada ya kuwa na ukame wa hoja na kufirisika kisera kwa chama Chenu.
Nani kakwambia kuna mashindano ya kutoa salamu za pole na rambirambi mpaka useme mmekuwa wa kwanza?
Kwani sasa hujuwi kinachoendelea na kinachopiganiwa ni kuokoa maisha ya watu,kutafuta waliopotea na hawajulikani walipo,kutoa huduma za haraka kwa majeruhi,kuzuia na kuwaondoa walio katika maeneo hatarishi zaidi,kutoa misaada ya kibinadamu kwa ambao makazi yao yameharibiwa na kusombwa na maji?
Kazi hiyo imeanza kufanywa na CCM mkoa tangia zilipotoka taarifa ya janga hilo.hiyi ndio kazi inayoendelea kufanywa na CCM kwa kushirikiana na wananchi wa huko,tofauti na ninyi mnaipiga porojo huku mkiwa kwenye makochi yenu na kunywa mipombe yenu.
Acheni na msilete siasa kwenye maisha ya watanzania,ndio maana mnapuuzwa sana na watanzania.nani kawaambieni kuna riadha ya kuwahi kutoa taarifa za pole.kwa sasa riadha iliyopo ni kuokoa maisha ya watu na kuwasaidia wahanga.
Ndio maana Rais Wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan yupo njiani kurejea nchini ili aende eneo la tukio na wakati huo huo tayari ameshatoa maagizo mazito yaliyowatetemesha watendaji wa serikali ili wafike haraka sana eneo la tukio.
Kipara bila akili ni sawa na tako tu bwege weweChama kikipoteza muelekeo utaona hata wanachama wanajitahidi kutafuta matukio sasa salamu si ni jambo jema lipi la ajabu hapo!
Kwa mfano hapo ujinga ni nini ?chadema msilete siasa za kijinga kwenye hili swala mtatuudhi
Soma tena ulichoandika mtani wangu maana naona umeandika utafikiri unakimbizwa na mbwa mwenye kichaa😄😄😄Risala ndefu lakini pumba tupu , ni lini Nakonda ataenda na Punda ?
Tayari msafara wetu umeanzaChama cha watu.....vijana tujitokeze kuokoa Watanzania wenzetu kwa hali na mali
Umeanza kutoka wapi enyi nyumbu? Mnaenda saizi wakati CCM Chama kilicho na uchungu na maisha ya watanzania kipo huko muda wote kikifanya kazi ya uokozi na kutoa misaada wa kila aina kwa wote walioathirika? Mnaenda nyumbani mkiwa mmelewa mipombe yenu halafu unaleta porojo hapa?Tayari msafara wetu umeanza
Mkuu, unaonaje kama chama kingetoa ile chopa kwenda kusaidia shughuli za uokoaji na kusambaza misaada kwa waathirika? Mi nadhani hiyo ingekuwa bora zaidi kuliko ........Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa chama cha kwanza cha siasa Nchini Tanzania kutuma rambirambi zilizoambatana na salamu za pole kufuatia mafuriko makubwa yaliyotokea huko Hanang na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 20 , huku watu wengine wakiwa hawajulikani walipo.