CHADEMA yatuma salamu za rambirambi kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababisha maafa huko Hanang

Mkuu, unaonaje kama chama kingetoa ile chopa kwenda kusaidia shughuli za uokoaji na kusambaza misaada kwa waathirika? Mi nadhani hiyo ingekuwa bora zaidi kuliko ........
Hawana mafuta .pesa zote za michango Mbowe alishazitafuna na ndio maana unaona hata mikutano yake imesitishwa kwa sasa.lakini pia kwa sasa chama kimepasuka vipande vipande kutokana na kutofautiana kwa mwenye kigoda na makamu wake.
 
Jee wametoa msaada gani kama chama, Rambirambi ni heshima kubwa kwa aliyedhurika, lakini tungependa kuona chadema kama chama kikuu cha upinzani, kikijitolea msaada wa kuwasaidia wadhurika, na pia kuwashawishi wenye hali nzuri au matajiri ma mashirika kutoa msaada wa vyakula, dawa na mavazi, sio kusubiri serekali amabo ni wajibu wake.
 
Mkuu, unaonaje kama chama kingetoa ile chopa kwenda kusaidia shughuli za uokoaji na kusambaza misaada kwa waathirika? Mi nadhani hiyo ingekuwa bora zaidi kuliko ........
Tayari mchakato huo umeanza
 
Ujumbe wako umepokelewa
 

 
Porojo tupu. Mchakato, mchakato, mtachakata mpaka lini? Watu wanahitaji msaada wa kuokolewa toka kwenye maji, nyie bado mko kwenye mchakato 😢😢
Haya endeleeni na mchakato.
Sasa wale wauza sura wanaotumia magari ya umma wamesaidia nini zaidi ya kupiga picha na tope ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…