Kama hujaingiliwa na shetani, bali ni tatizolaakili, wahi hospitali.Nakutana na mtu wa kwanza mwenye akili katika hii mada. Wengine wote mpaka Sasa ni takataka tupu.
Kimsingi inafahamika kuwa kanisa Katoliki na chadema lao Moja awamu hii; kuhakikisha mama hatawali kwa amani. Mungu ni wetu sote, atamlinda mama yetu huyu amiiiiiina!
Tokea lini wagalatia mkafunga bhanaNakutana na mtu wa kwanza mwenye akili katika hii mada. Wengine wote mpaka Sasa ni takataka tupu.
Kimsingi inafahamika kuwa kanisa Katoliki na chadema lao Moja awamu hii; kuhakikisha mama hatawali kwa amani. Mungu ni wetu sote, atamlinda mama yetu huyu amiiiiiina!
Ila wkt wa ukoloni mlipokua vibaraka..hamkufunga novela?Ujumbe murua kabisa. Wananchi wote wanaoumizwa na udhulumaji wa haki, tuungane kumlilia Mungu, akaibadilishe mioyo ya watawala waliomkaribisha shetani kwenye roho zao.
Mnahangaika tu!Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Watanzania wote kushiriki maombi ya Novena Takatifu yanayofanyika chini ya Kanisa Katoliki, ambayo yanahitimishwa tarehe 23 Agosti 2025, kwa lengo la kuliombea taifa amani, haki na mshikamano wa kitaifa.
Katika taarifa kwa umma iliyosainiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Tanganyika), John Wegesa Heche siku ya Ijumma, chama hicho kimewataka wanachama wake na Watanzania wote kwa ujumla kushirikiana na waumini wa Kanisa Katoliki katika maombi hayo ya kitaifa.
Soma pia: Rais TEC atangaza maombi ya kufunga kuombea haki na amani katika uchaguzi mkuu
“Tukitambua kuwa tarehe 23 Agosti ndio siku ya kuhitmisha maombi haya, Chadema inawaomba Watanzania wote tuungane na waumini wa Kanisa Katoliki, katika maombi ya Novena Takatifu tarehe 23 Agosti 2025, katika kuombea Taifa letu juu ya haki na amani huku tukijua kama kitabu Kitakatifu Biblia inavyosema; Isaya 32:17: "Na kazi ya haki itakuwa ni amani; na matunda ya haki yatakuwa utulivu na tumaini daima”, amesema Heche.
Aidha, Heche amerejea historia ya mapambano ya kisiasa yaliyosimamiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akieleza kuwa Nyerere alihusisha hata nguvu za Mungu katika kudai uhuru wa Tanganyika. Amekumbusha changamoto za kisiasa zilizojitokeza kwenye chaguzi zilizopita, ikiwemo za mwaka 2019, 2020 na 2024, ambapo chama hicho kimesema kulikuwa na ukiukwaji wa utu na haki za kidemokrasia.
“Kati ya mwaka 1955 hadi 1959 Mwalimu J. K Nyerere alianza kuwahamasisha Watanganyika kudai uhuru wa kisiasa dhidi ya Mkoloni Mwingereza. Aliwaambia Watanganyika kuwa tutamdai Mkoloni Mwingereza atuachie uhuru wetu. Kama atakataa tutaenda Umoja wa Mataifa nao wasipotukubalia tutaenda kulalamika kwa Mungu”.
Kwa mujibu wa Heche, chama hicho kinaamini kuwa maombi ya pamoja yatawajengea Watanzania ujasiri, hekima na mshikamano, akisema: “huu ni wakati wa kuungana kama familia moja ya Watanzania mbele za Mungu, tukimuomba atufungulie njia ya haki, uhuru, na kuheshimu utu wa kila mmoja wetu”.
View attachment 3449257View attachment 3449256
Nyerere alienda bagamoyo akafanyiwa dua na kina shelhe marehemu Shekhe Ramia..na ilibidi afunge akashndw...sasa lini mgalatia akagunga?..funga ipi hii Novela?..Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Watanzania wote kushiriki maombi ya Novena Takatifu yanayofanyika chini ya Kanisa Katoliki, ambayo yanahitimishwa tarehe 23 Agosti 2025, kwa lengo la kuliombea taifa amani, haki na mshikamano wa kitaifa.
Katika taarifa kwa umma iliyosainiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Tanganyika), John Wegesa Heche siku ya Ijumma, chama hicho kimewataka wanachama wake na Watanzania wote kwa ujumla kushirikiana na waumini wa Kanisa Katoliki katika maombi hayo ya kitaifa.
Soma pia: Rais TEC atangaza maombi ya kufunga kuombea haki na amani katika uchaguzi mkuu
“Tukitambua kuwa tarehe 23 Agosti ndio siku ya kuhitmisha maombi haya, Chadema inawaomba Watanzania wote tuungane na waumini wa Kanisa Katoliki, katika maombi ya Novena Takatifu tarehe 23 Agosti 2025, katika kuombea Taifa letu juu ya haki na amani huku tukijua kama kitabu Kitakatifu Biblia inavyosema; Isaya 32:17: "Na kazi ya haki itakuwa ni amani; na matunda ya haki yatakuwa utulivu na tumaini daima”, amesema Heche.
Aidha, Heche amerejea historia ya mapambano ya kisiasa yaliyosimamiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akieleza kuwa Nyerere alihusisha hata nguvu za Mungu katika kudai uhuru wa Tanganyika. Amekumbusha changamoto za kisiasa zilizojitokeza kwenye chaguzi zilizopita, ikiwemo za mwaka 2019, 2020 na 2024, ambapo chama hicho kimesema kulikuwa na ukiukwaji wa utu na haki za kidemokrasia.
“Kati ya mwaka 1955 hadi 1959 Mwalimu J. K Nyerere alianza kuwahamasisha Watanganyika kudai uhuru wa kisiasa dhidi ya Mkoloni Mwingereza. Aliwaambia Watanganyika kuwa tutamdai Mkoloni Mwingereza atuachie uhuru wetu. Kama atakataa tutaenda Umoja wa Mataifa nao wasipotukubalia tutaenda kulalamika kwa Mungu”.
Kwa mujibu wa Heche, chama hicho kinaamini kuwa maombi ya pamoja yatawajengea Watanzania ujasiri, hekima na mshikamano, akisema: “huu ni wakati wa kuungana kama familia moja ya Watanzania mbele za Mungu, tukimuomba atufungulie njia ya haki, uhuru, na kuheshimu utu wa kila mmoja wetu”.
View attachment 3449257View attachment 3449256
Hamna lolote nyie wagalatia mnaleta vichekesho tuu...waraka wa Papa Francis unawashnda kupractice mpk sasa hivi...Devil worshipers wa buku saba watakuja kutukana hapa mda sio mrefu!!!
Tokea lini wagalatia mkaweza kufunga nyie wkt waraka wa Papa Francis mmesanda...Nakutana na mtu wa kwanza mwenye akili katika hii mada. Wengine wote mpaka Sasa ni takataka tupu.
Kimsingi inafahamika kuwa kanisa Katoliki na chadema lao Moja awamu hii; kuhakikisha mama hatawali kwa amani. Mungu ni wetu sote, atamlinda mama yetu huyu amiiiiiina!
Si wanatuita sie kobazi pia tufunge novela yanii..wkt waraka wa Papa Francis unawashinda?Mnahanaika tu!
Sie kobazi hatufungi mpk waraka wa Papa Francis...tujue kama mshaanza kuufanyia kazi 🤣🤣Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Watanzania wote kushiriki maombi ya Novena Takatifu yanayofanyika chini ya Kanisa Katoliki, ambayo yanahitimishwa tarehe 23 Agosti 2025, kwa lengo la kuliombea taifa amani, haki na mshikamano wa kitaifa.
Katika taarifa kwa umma iliyosainiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Tanganyika), John Wegesa Heche siku ya Ijumma, chama hicho kimewataka wanachama wake na Watanzania wote kwa ujumla kushirikiana na waumini wa Kanisa Katoliki katika maombi hayo ya kitaifa.
Soma pia: Rais TEC atangaza maombi ya kufunga kuombea haki na amani katika uchaguzi mkuu
“Tukitambua kuwa tarehe 23 Agosti ndio siku ya kuhitmisha maombi haya, Chadema inawaomba Watanzania wote tuungane na waumini wa Kanisa Katoliki, katika maombi ya Novena Takatifu tarehe 23 Agosti 2025, katika kuombea Taifa letu juu ya haki na amani huku tukijua kama kitabu Kitakatifu Biblia inavyosema; Isaya 32:17: "Na kazi ya haki itakuwa ni amani; na matunda ya haki yatakuwa utulivu na tumaini daima”, amesema Heche.
Aidha, Heche amerejea historia ya mapambano ya kisiasa yaliyosimamiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akieleza kuwa Nyerere alihusisha hata nguvu za Mungu katika kudai uhuru wa Tanganyika. Amekumbusha changamoto za kisiasa zilizojitokeza kwenye chaguzi zilizopita, ikiwemo za mwaka 2019, 2020 na 2024, ambapo chama hicho kimesema kulikuwa na ukiukwaji wa utu na haki za kidemokrasia.
“Kati ya mwaka 1955 hadi 1959 Mwalimu J. K Nyerere alianza kuwahamasisha Watanganyika kudai uhuru wa kisiasa dhidi ya Mkoloni Mwingereza. Aliwaambia Watanganyika kuwa tutamdai Mkoloni Mwingereza atuachie uhuru wetu. Kama atakataa tutaenda Umoja wa Mataifa nao wasipotukubalia tutaenda kulalamika kwa Mungu”.
Kwa mujibu wa Heche, chama hicho kinaamini kuwa maombi ya pamoja yatawajengea Watanzania ujasiri, hekima na mshikamano, akisema: “huu ni wakati wa kuungana kama familia moja ya Watanzania mbele za Mungu, tukimuomba atufungulie njia ya haki, uhuru, na kuheshimu utu wa kila mmoja wetu”.
View attachment 3449257View attachment 3449256
Maana yake kama chama cha siasa kimejitenga na dini zengine kimeikumbatia Katoliki tu. Halafu wanakwambia eti watatawala nchi hii. Wajinga na wapumbavu sana Hawa!Si wanatuita sie kobazi pia tufunge novela yanii..wkt waraka wa Papa Francis unawashinda?
Ushaalikwa lkn pale kitaa kuna dua kwahiy kutakua na pilau soda wee beba ndizi mfukoni uende nayo!!!Hamna lolote nyie wagalatia mnaleta vichekesho tuu...waraka wa Papa Francis unawashnda kupractice mpk sasa hivi...
Menyewe ishaunganisha na NIDA sasa hata mkijamba kazi buree...na tokea lini mkaweza kufunga lini?
Mbn hilo jambo la kawaida kabisaa kwny shughuli zetu waislam na ndo njia nyepesi kabisaa kutoa sadaka.Ushaalikwa lkn pale kitaa kuna dua kwahiy kutakua na pilau soda wee beba ndizi mfukoni uende nayo!!!
Of course, the devil is awake.Devil worshipers wa buku saba watakuja kutukana hapa mda sio mrefu!!!