GE2025 CHADEMA yaungana na kanisa la Katoliki katika maombi ya Kitaifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama hujaingiliwa na shetani, bali ni tatizolaakili, wahi hospitali.
 
Ujumbe murua kabisa. Wananchi wote wanaoumizwa na udhulumaji wa haki, tuungane kumlilia Mungu, akaibadilishe mioyo ya watawala waliomkaribisha shetani kwenye roho zao.
 
Nimeipenda hiyo ya makamu mwenyekiti Tanganyika.
 
Tokea lini wagalatia mkafunga bhana
 
Ujumbe murua kabisa. Wananchi wote wanaoumizwa na udhulumaji wa haki, tuungane kumlilia Mungu, akaibadilishe mioyo ya watawala waliomkaribisha shetani kwenye roho zao.
Ila wkt wa ukoloni mlipokua vibaraka..hamkufunga novela?
 
Mnahangaika tu!
 
Nyerere alienda bagamoyo akafanyiwa dua na kina shelhe marehemu Shekhe Ramia..na ilibidi afunge akashndw...sasa lini mgalatia akagunga?..funga ipi hii Novela?..
Ila waraka wa Papa Francis uliwashnd kupractice mpk sasa
 
Devil worshipers wa buku saba watakuja kutukana hapa mda sio mrefu!!!
Hamna lolote nyie wagalatia mnaleta vichekesho tuu...waraka wa Papa Francis unawashnda kupractice mpk sasa hivi...
Menyewe ishaunganisha na NIDA sasa hata mkijamba kazi buree...na tokea lini mkaweza kufunga lini?
 
Tokea lini wagalatia mkaweza kufunga nyie wkt waraka wa Papa Francis mmesanda...
Novela mbn Congo 🇨🇩 haifanyi kazi?..na walifunga mpk valentine day hola wakafunga siku ya Romeo na juliet pia hola...sasa mnaleta vibwagizo hapo Heche kachemka..kajaribu kupita na upepo wa uluzi..tar 23 sio mbali itafika tuu..tuone maigizo yenu
 
Sie kobazi hatufungi mpk waraka wa Papa Francis...tujue kama mshaanza kuufanyia kazi 🤣🤣
 
Si wanatuita sie kobazi pia tufunge novela yanii..wkt waraka wa Papa Francis unawashinda?
Maana yake kama chama cha siasa kimejitenga na dini zengine kimeikumbatia Katoliki tu. Halafu wanakwambia eti watatawala nchi hii. Wajinga na wapumbavu sana Hawa!
 
Hamna lolote nyie wagalatia mnaleta vichekesho tuu...waraka wa Papa Francis unawashnda kupractice mpk sasa hivi...
Menyewe ishaunganisha na NIDA sasa hata mkijamba kazi buree...na tokea lini mkaweza kufunga lini?
Ushaalikwa lkn pale kitaa kuna dua kwahiy kutakua na pilau soda wee beba ndizi mfukoni uende nayo!!!
 
Ushaalikwa lkn pale kitaa kuna dua kwahiy kutakua na pilau soda wee beba ndizi mfukoni uende nayo!!!
Mbn hilo jambo la kawaida kabisaa kwny shughuli zetu waislam na ndo njia nyepesi kabisaa kutoa sadaka.
Ila sasa mie nikuulize lini wewe utaanza kuufanyia kazi waraka wa Papa Francis?
Cha mwsh tokea lini nyie mkafunga?..toeni maigizo yenu huko
 
HAKI NA AMANI KATIKA UCHAGUZI MKUU SASA JE CHADEMA INASHIRIKI HUO UCHAGUZI MKUU ?? CHADEMA NAYO NI PROJECT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…