Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Maku ww!Je wajinga na wafata upepo mnataka muone mfano gani ili muwe mnaelewa mnapoambiwa acheni kudanganywa na wanasiasa wanawatumia kikinuka wataoumia ni ndugu zako tu
Fanya siasa bila kutukana watu matusi kila siku, wako watu wana uwezo wa kuvumilia matusi na wako hawana. Wewe unajuwa unamtukana mtu mwenye nguvu kuliko wewe lakini ukiamka wewe ni matusi tu kila siku ni kama unataka waje wakushike upate kick, iko siku wanakuchukuwa mazima halafu wa bongo tunajijuwa wiki 2 tunakusahahu.Je wajinga na wafata upepo mnataka muone mfano gani ili muwe mnaelewa mnapoambiwa acheni kudanganywa na wanasiasa wanawatumia kikinuka wataoumia ni ndugu zako tu
Unatukana nini na huo ndio ukweli. Kwani yeye ndio wa kwanza kupotea? wangapi hata kuongelewa tu hawaongelewi vijana wadogo kama kina Soka. nani anaumia hivi sasa sio wazazi wake? wako wapi wanasiasa waliokuwa nyuma yenu. Hawana habari wao wana malengo yao pia.... kubali ukweliMaku ww!
Mdude alidhani ataondoka kama shujaa cha ajabu huko chadema nobody cares wako busy kumpraise Lissu. Kuna yule Soka nae ashasaaulika alikuwa anatembea na kifimbo anajikuta Nyerere awa watoto wanadanganywa sana uko wanaweka maisha yao rehani kijingaFanya siasa bila kutukana watu matusi kila siku, wako watu wana uwezo wa kuvumilia matusi na wako hawana. Wewe unajuwa unamtukana mtu mwenye nguvu kuliko wewe lakini ukiamka wewe ni matusi tu kila siku ni kama unataka waje wakushike upate kick, iko siku wanakuchukuwa mazima halafu wa bongo tunajijuwa wiki 2 tunakusahahu.
Kweli unatoka nyumbani una watoto hujali wote hao unaenda kutukana viongozi hujui siku moja utapatwa na nini? Unaweza kufanya harakati na ukawa maarufu bila kutoa matusi ya nguoni. Baada ya mwezi tu hutasikia habari yoyote watu watarudi kwenye Wasafi Festival......na Singeli
Ushujaa utamsaidia nini kweli? unaacha family yako watu wanaokupenda eti shujaa wa nini? watu wenyewe unataka kuwapigia hawana habari.Mdude alidhani ataondoka kama shujaa cha ajabu huko chadema nobody cares wako busy kumpraise Lissu. Kuna yule Soka nae ashasaaulika alikuwa anatembea na kifimbo anajikuta Nyerere awa watoto wanadanganywa sana uko wanaweka maisha yao rehani kijinga
Kwahiyo unashangilia watu kupotezwa na kupelekwa kusikojulikana badala ya kushauri mamlaka zizingatie utawala wa Sheria? Wakosaji wakamatwe na kupelekwa mahakamani na siyo kusikojulikana!Unatukana nini na huo ndio ukweli. Kwani yeye ndio wa kwanza kupotea? wangapi hata kuongelewa tu hawaongelewi vijana wadogo kama kina Soka. nani anaumia hivi sasa sio wazazi wake? wako wapi wanasiasa waliokuwa nyuma yenu. Hawana habari wao wana malengo yao pia.... kubali ukweli
wachungaji nao wanatukana fr kitima alitukana?Fanya siasa bila kutukana watu matusi kila siku, wako watu wana uwezo wa kuvumilia matusi na wako hawana. Wewe unajuwa unamtukana mtu mwenye nguvu kuliko wewe lakini ukiamka wewe ni matusi tu kila siku ni kama unataka waje wakushike upate kick, iko siku wanakuchukuwa mazima halafu wa bongo tunajijuwa wiki 2 tunakusahahu.
Kweli unatoka nyumbani una watoto hujali wote hao unaenda kutukana viongozi hujui siku moja utapatwa na nini? Unaweza kufanya harakati na ukawa maarufu bila kutoa matusi ya nguoni. Baada ya mwezi tu hutasikia habari yoyote watu watarudi kwenye Wasafi Festival......na Singeli
Mkuu hii point yako mimi Kila siku naihubiri huku lakini nimefurahi wewe kuona hiki kitu.Fanya siasa bila kutukana watu matusi kila siku, wako watu wana uwezo wa kuvumilia matusi na wako hawana. Wewe unajuwa unamtukana mtu mwenye nguvu kuliko wewe lakini ukiamka wewe ni matusi tu kila siku ni kama unataka waje wakushike upate kick, iko siku wanakuchukuwa mazima halafu wa bongo tunajijuwa wiki 2 tunakusahahu.
Kweli unatoka nyumbani una watoto hujali wote hao unaenda kutukana viongozi hujui siku moja utapatwa na nini? Unaweza kufanya harakati na ukawa maarufu bila kutoa matusi ya nguoni. Baada ya mwezi tu hutasikia habari yoyote watu watarudi kwenye Wasafi Festival......na Singeli
we ni mmojawapo huna habariUshujaa utamsaidia nini kweli? unaacha family yako watu wanaokupenda eti shujaa wa nini? watu wenyewe unataka kuwapigia hawana habari.
Acha ubaguziInauma sana ,huyu mzanzibar Hana uchungu kwa watanganyika,kazi tunayo
Cdm wanataka ubunge na ruzuku tuMdude alidhani ataondoka kama shujaa cha ajabu huko chadema nobody cares wako busy kumpraise Lissu. Kuna yule Soka nae ashasaaulika alikuwa anatembea na kifimbo anajikuta Nyerere awa watoto wanadanganywa sana uko wanaweka maisha yao rehani kijinga
Kama siasi haikunufaishi kwa kiasi kikubwa bora uache, Leo hii lisu au Dr Slaa akikamatwa na kuwekwa ndani anapewa treatment Kama mfalme bila kujalisha ukubwa au udogo wa kosa alilofanya lakini mtu mwingine alifanya kasa linaloshabihiana na la la lissu anapewa adhabu Kali ikiwemo kupotezwa kabisa.Unatukana nini na huo ndio ukweli. Kwani yeye ndio wa kwanza kupotea? wangapi hata kuongelewa tu hawaongelewi vijana wadogo kama kina Soka. nani anaumia hivi sasa sio wazazi wake? wako wapi wanasiasa waliokuwa nyuma yenu. Hawana habari wao wana malengo yao pia.... kubali ukweli
Mkuu inasikitisha sana aise.Mdude alidhani ataondoka kama shujaa cha ajabu huko chadema nobody cares wako busy kumpraise Lissu. Kuna yule Soka nae ashasaaulika alikuwa anatembea na kifimbo anajikuta Nyerere awa watoto wanadanganywa sana uko wanaweka maisha yao rehani kijinga
100%we ni mmojawapo huna habari