We shoger tuliza kijambio puuzi wewe.Je wajinga na wafata upepo mnataka muone mfano gani ili muwe mnaelewa mnapoambiwa acheni kudanganywa na wanasiasa wanawatumia kikinuka wataoumia ni ndugu zako tu
Your reasoning is so sharp💯👊Uandishi wako inaokena unaunga mkono na unashangilia, haiwezekani utumie nusu tu tena ya sentensi moja tu katika andiko lako kusema huungi mkono kisha maneno mengine yooote ni ya kumlaumu victim
We bwabwa la wasafi wa nguo na siasa wapi na wapi?Je wajinga na wafata upepo mnataka muone mfano gani ili muwe mnaelewa mnapoambiwa acheni kudanganywa na wanasiasa wanawatumia kikinuka wataoumia ni ndugu zako tu
Siasa za kutukanaChama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mbeya Kusini magharibi mwa Tanzania kimetangaza kuvunja rasmi kambi iliyokuwa imewekwa kushinikiza kupatikana kwa kada wao, Mdude Nyagali aliyetoweka tangu Mei 02, 2025.
Mdude anadaiwa kuvamiwa na kupigwa nyumbani kwake mtaa wa Iwambi jijini Mbeya tangu Mei 2, 2025 hajapatikana huku Chadema ikitumia njia tofauti kumtafuta mwanaharakati huyo bila mafanikio.
Akizungumza leo Jumatano Mei 21, 2025 Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Mbeya, Masaga Kaloli amesema baada ya kupata vitisho ikiwamo kumwagiwa vitu vinavyodhaniwa kuwa ni sumu, wameona harakati za kumpigania Mdude zihamie nyumbani ili kuokoa maisha ya wengine.
Amesema zipo njia nyingi za kuendelea kupambania kila mwananchi na mfuasi wa chama hicho na Mbeya itaendelea kuwa mfano kupitia tukio la Mdude. Masaga pia aliiomba Serikali na vyombo vya dola kusaidia kupatikana kwa mwanaharakati huyo.
Pia, Soma
"Tumeona kuendelea kuwa hapa ilihali tunapitia vitisho vyenye nia ovu bora tutumie njia nyingine kudai haki ya Mtanzania huyu, hadi sasa tunaomba Serikali na mamlaka nyingine zisaidie kupatikana kwa Mdude, sisi tutatoa aina yoyote ya ushirikiano kwa yeyote" amekaririwa Masaga akizungumza na Gazeti la Mwananchi.
Wewe maku x1000000 unafurahia watu kutoweka kwa ujinga wenu huo eti demokrasia wakati familia zao zinabaki zinateseka na viongozi wenu wakizidi kuvimbisha matumbo na kuishi maisha ya anasa???Maku ww!
Huwa hakuna malipo kwa ujinga wako mwenyewe wakujitakia,kwani maisha ni siasa tu??Mungu yupo anaona na malipo ni hapa hapa duniani
We shoger tuliza kijambio puuzi wewe.
[/QUOT
Haya umetukana hiyo ndiyo siasa ya kuvumiliwa??
Kwahiyo unashangilia watu kupotezwa na kupelekwa kusikojulikana badala ya kushauri mamlaka zizingatie utawala wa Sheria? Wakosaji wakamatwe na kupelekwa mahakamani na siyo kusikojulikana!
[/QUOT.
Yeye alikuwa anashauri au alikuwa anatukana??kwanini yeye hakushauri??
Serikali tangu mwanzo haina nia yoyote ya kuwatafuta raia ambao si wake.Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mbeya Kusini magharibi mwa Tanzania kimetangaza kuvunja rasmi kambi iliyokuwa imewekwa kushinikiza kupatikana kwa kada wao, Mdude Nyagali aliyetoweka tangu Mei 02, 2025.
Mdude anadaiwa kuvamiwa na kupigwa nyumbani kwake mtaa wa Iwambi jijini Mbeya tangu Mei 2, 2025 hajapatikana huku Chadema ikitumia njia tofauti kumtafuta mwanaharakati huyo bila mafanikio.
Akizungumza leo Jumatano Mei 21, 2025 Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Mbeya, Masaga Kaloli amesema baada ya kupata vitisho ikiwamo kumwagiwa vitu vinavyodhaniwa kuwa ni sumu, wameona harakati za kumpigania Mdude zihamie nyumbani ili kuokoa maisha ya wengine.
Amesema zipo njia nyingi za kuendelea kupambania kila mwananchi na mfuasi wa chama hicho na Mbeya itaendelea kuwa mfano kupitia tukio la Mdude. Masaga pia aliiomba Serikali na vyombo vya dola kusaidia kupatikana kwa mwanaharakati huyo.
Pia, Soma
"Tumeona kuendelea kuwa hapa ilihali tunapitia vitisho vyenye nia ovu bora tutumie njia nyingine kudai haki ya Mtanzania huyu, hadi sasa tunaomba Serikali na mamlaka nyingine zisaidie kupatikana kwa Mdude, sisi tutatoa aina yoyote ya ushirikiano kwa yeyote" amekaririwa Masaga akizungumza na Gazeti la Mwananchi.
Serikali tangu mwanzo haina nia yoyote ya kuwatafuta raia ambao si wake.Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mbeya Kusini magharibi mwa Tanzania kimetangaza kuvunja rasmi kambi iliyokuwa imewekwa kushinikiza kupatikana kwa kada wao, Mdude Nyagali aliyetoweka tangu Mei 02, 2025.
Mdude anadaiwa kuvamiwa na kupigwa nyumbani kwake mtaa wa Iwambi jijini Mbeya tangu Mei 2, 2025 hajapatikana huku Chadema ikitumia njia tofauti kumtafuta mwanaharakati huyo bila mafanikio.
Akizungumza leo Jumatano Mei 21, 2025 Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Mbeya, Masaga Kaloli amesema baada ya kupata vitisho ikiwamo kumwagiwa vitu vinavyodhaniwa kuwa ni sumu, wameona harakati za kumpigania Mdude zihamie nyumbani ili kuokoa maisha ya wengine.
Amesema zipo njia nyingi za kuendelea kupambania kila mwananchi na mfuasi wa chama hicho na Mbeya itaendelea kuwa mfano kupitia tukio la Mdude. Masaga pia aliiomba Serikali na vyombo vya dola kusaidia kupatikana kwa mwanaharakati huyo.
Pia, Soma
"Tumeona kuendelea kuwa hapa ilihali tunapitia vitisho vyenye nia ovu bora tutumie njia nyingine kudai haki ya Mtanzania huyu, hadi sasa tunaomba Serikali na mamlaka nyingine zisaidie kupatikana kwa Mdude, sisi tutatoa aina yoyote ya ushirikiano kwa yeyote" amekaririwa Masaga akizungumza na Gazeti la Mwananchi.
Unavumiliwaje shoger?Haya ume
Umeongea ukweli unaouma na wanaujua,hawa wanaotukana mitandaoni kwa acc zisizojulikana ni wengi sana na ni uthibitisho kuwa akili wanazo na ndo maana wanaogopa lakini akijitokeza mtu kama mdude watamjaza ujinga ilihali wenyewe wamejificha matokeo yake ni mke na familia kupitia magum.Fanya siasa bila kutukana watu matusi kila siku, wako watu wana uwezo wa kuvumilia matusi na wako hawana. Wewe unajuwa unamtukana mtu mwenye nguvu kuliko wewe lakini ukiamka wewe ni matusi tu kila siku ni kama unataka waje wakushike upate kick, iko siku wanakuchukuwa mazima halafu wa bongo tunajijuwa wiki 2 tunakusahahu.
Kweli unatoka nyumbani una watoto hujali wote hao unaenda kutukana viongozi hujui siku moja utapatwa na nini? Unaweza kufanya harakati na ukawa maarufu bila kutoa matusi ya nguoni. Baada ya mwezi tu hutasikia habari yoyote watu watarudi kwenye Wasafi Festival......na Singeli
Kwa mdude Mimi kwangu yule jamaa ilibidi wampeleke hospital za wagonjwa wa akili kwanza kabla ya kumhukumu viingine sidhani kama mdude kichwani ni mzima hata ukimuangalia tu Kuna kit hakipo sawa kwake,Kwani mdude amefanya kosa gani. Tuanzie hapo kwanza