secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mkuu hebu elewa point ya huyu jamaa tafadhali la sivyo unahitaji viboko.Kwahiyo unashangilia watu kupotezwa na kupelekwa kusikojulikana badala ya kushauri mamlaka zizingatie utawala wa Sheria? Wakosaji wakamatwe na kupelekwa mahakamani na siyo kusikojulikana!
Mi naona kama mtu huna usalama na maisha yako na unapenda kuishi Bora atafute namna itakayokufanya usifanywe mbaya na hawa watu.wachungaji nao wanatukana fr kitima alitukana?
Hapana sishangilii kabisa lakini pia sitaki kuona tunataka kuishi maisha ya kuiga kutukana wakubwa sio mila zetu. Kwani huwezi kumkosoa mtu bila kutukana matusi. Unaweza kumtukana matusi ya nguoni mtu na akaa kimya lakini kuna mtu wake kaumizwa akili hana akafanya jambo baya hasara ya nani.Kwahiyo unashangilia watu kupotezwa na kupelekwa kusikojulikana badala ya kushauri mamlaka zizingatie utawala wa Sheria? Wakosaji wakamatwe na kupelekwa mahakamani na siyo kusikojulikana!
SWALI ZURI SN HY FR NAYE ALITUKAMA? HY MTU MWNY HZ COMMENTS OVYO SN SNwachungaji nao wanatukana fr kitima alitukana?
Kila mtu ana wajibu wa kujilinda haijalishi ametuka au hajatukana.SWALI ZURI SN HY FR NAYE ALITUKAMA? HY MTU MWNY HZ COMMENTS OVYO SN SN
Bora sauti zipazwe wanaouliwa wauawe kuliko kuwakalia kimya Hawa watawala!Je wajinga na wafata upepo mnataka muone mfano gani ili muwe mnaelewa mnapoambiwa acheni kudanganywa na wanasiasa wanawatumia kikinuka wataoumia ni ndugu zako tu
Sijajua unajivunia nini hasa katika haya yote uliyoandika.Mdude alidhani ataondoka kama shujaa cha ajabu huko chadema nobody cares wako busy kumpraise Lissu. Kuna yule Soka nae ashasaaulika alikuwa anatembea na kifimbo anajikuta Nyerere awa watoto wanadanganywa sana uko wanaweka maisha yao rehani kijinga
Uandishi wako inaokena unaunga mkono na unashangilia, haiwezekani utumie nusu tu tena ya sentensi moja tu katika andiko lako kusema huungi mkono kisha maneno mengine yooote ni ya kumlaumu victimHapana sishangilii kabisa lakini pia sitaki kuona tunataka kuishi maisha ya kuiga kutukana wakubwa sio mila zetu. Kwani huwezi kumkosoa mtu bila kutukana matusi. Unaweza kumtukana matusi ya nguoni mtu na akaa kimya lakini kuna mtu wake kaumizwa akili hana akafanya jambo baya hasara ya nani.
Mimi napenda amani lakini tukiwa tunakemea na haya pia tukemee matusi. Mtoto wako akiwa anafanya utundu wa kukosa adabu mbele za watu unamgombeza sio unamsifia huyu mtoto bwana ndio alivyo... lakini unawekera watu ipo siku mtu anamshughulikia mwanao unaanza kulia. Mabaya yote yakemewe.
Ndio hivyo.Je wajinga na wafata upepo mnataka muone mfano gani ili muwe mnaelewa mnapoambiwa acheni kudanganywa na wanasiasa wanawatumia kikinuka wataoumia ni ndugu zako tu
Kwani mdude amefanya kosa gani. Tuanzie hapo kwanzaMdude alidhani ataondoka kama shujaa cha ajabu huko chadema nobody cares wako busy kumpraise Lissu. Kuna yule Soka nae ashasaaulika alikuwa anatembea na kifimbo anajikuta Nyerere awa watoto wanadanganywa sana uko wanaweka maisha yao rehani kijinga
Kipimo cha ujinga! Mnafestika watawala wanajineemesha!Baada ya mwezi tu hutasikia habari yoyote watu watarudi kwenye Wasafi Festival......na Singeli
Effect of COVID 19 vaccine πMaku ww!
Point. πFanya siasa bila kutukana watu matusi kila siku, wako watu wana uwezo wa kuvumilia matusi na wako hawana. Wewe unajuwa unamtukana mtu mwenye nguvu kuliko wewe lakini ukiamka wewe ni matusi tu kila siku ni kama unataka waje wakushike upate kick, iko siku wanakuchukuwa mazima halafu wa bongo tunajijuwa wiki 2 tunakusahahu.
Kweli unatoka nyumbani una watoto hujali wote hao unaenda kutukana viongozi hujui siku moja utapatwa na nini? Unaweza kufanya harakati na ukawa maarufu bila kutoa matusi ya nguoni. Baada ya mwezi tu hutasikia habari yoyote watu watarudi kwenye Wasafi Festival......na Singeli
Ondoa hiyo picha kwenye avatar Yako, huyo mtu Sasa hivi ni chukizo mbele ya Mungu hivyo hasira ya Mungu itakapokuja kumuadhibu itapata na washirika wake walikuwa wakimuabudu na kumtukuza.So nyagali is gone? Nakulilia sana Tanganyika yangu,wapi unatupeleka!?
Tatizo la nchi hii ni kuwa na Mifugo miingii kuliko watu.Kwahiyo unashangilia watu kupotezwa na kupelekwa kusikojulikana badala ya kushauri mamlaka zizingatie utawala wa Sheria? Wakosaji wakamatwe na kupelekwa mahakamani na siyo kusikojulikana!
Kuna watu wako nyuma ya keyboard wanawaambia watu hakuna kurudi nyuma wao wakiwa hawana ujasiri huo kama wa Mdude na wengine.Unatukana nini na huo ndio ukweli. Kwani yeye ndio wa kwanza kupotea? wangapi hata kuongelewa tu hawaongelewi vijana wadogo kama kina Soka. nani anaumia hivi sasa sio wazazi wake? wako wapi wanasiasa waliokuwa nyuma yenu. Hawana habari wao wana malengo yao pia.... kubali ukweli
Siku akipotea mwanao ndio utawaelewaJe wajinga na wafata upepo mnataka muone mfano gani ili muwe mnaelewa mnapoambiwa acheni kudanganywa na wanasiasa wanawatumia kikinuka wataoumia ni ndugu zako tu
Ali kibao nae alikuwa na matusi mengi.!! Tuwe wakweli tu ukatili umeongezeka sana katika tawala za sasa tuache unafiki.Point. π
Sitetei kupotezwa kwake. Ila alizidi matusi. Anao watukana wenyewe wamemzidi kila kitu.