PreGE2025 CHADEMA yavunja rasmi kambi ya kumtafuta Mdude Nyagali aliyetoweka Mei 2, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Si mlisema aliemchukua mnamjua au ilikua ni stori za uongo na kuchafua watu kama kawaida yenu?
 
Mungu yupo anaona na malipo ni hapa hapa duniani
 
Je wajinga na wafata upepo mnataka muone mfano gani ili muwe mnaelewa mnapoambiwa acheni kudanganywa na wanasiasa wanawatumia kikinuka wataoumia ni ndugu zako tu
We shoger tuliza kijambio puuzi wewe.
 
Uandishi wako inaokena unaunga mkono na unashangilia, haiwezekani utumie nusu tu tena ya sentensi moja tu katika andiko lako kusema huungi mkono kisha maneno mengine yooote ni ya kumlaumu victim
Your reasoning is so sharp💯👊
 
Siasa za kutukana
 
Yeye alikuwa a
 
Serikali tangu mwanzo haina nia yoyote ya kuwatafuta raia ambao si wake.
 
Serikali tangu mwanzo haina nia yoyote ya kuwatafuta raia ambao si wake.
 
Umeongea ukweli unaouma na wanaujua,hawa wanaotukana mitandaoni kwa acc zisizojulikana ni wengi sana na ni uthibitisho kuwa akili wanazo na ndo maana wanaogopa lakini akijitokeza mtu kama mdude watamjaza ujinga ilihali wenyewe wamejificha matokeo yake ni mke na familia kupitia magum.
 
Kwani mdude amefanya kosa gani. Tuanzie hapo kwanza
Kwa mdude Mimi kwangu yule jamaa ilibidi wampeleke hospital za wagonjwa wa akili kwanza kabla ya kumhukumu viingine sidhani kama mdude kichwani ni mzima hata ukimuangalia tu Kuna kit hakipo sawa kwake,
Wat wengi wanafanya siasa za upinzani na si dhambi kua mpinzani ila mdude nafkiri hayupo sawa kichwani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…