CHADEMA yawasha moto Ukerewe

endelea kuota
Mabadiliko ya upepo wa CCM kuvuma kwa upande wao maeneo yetu ya Same na Mwanga , kama hali hiyo ndio ipo pande zingine za Tanzania , nakwambia MKAZE SANA MSAMBA. Na hii ikuhusu sana ndugu yangu Erythrocyte na Chadema yote.

Upepo umebadilika sana. Na namwambia Mshana uje uone moto huku Mwanga, kama Jimmy tulishindwa kumyoa 2015, safari hii hata tukipewa light weight atatusumbua.
 
Hilo ni vuvuzela tu linaelekezwa nini cha kupost na chakubanga
[emoji28][emoji28][emoji28] kweli mkuu. Hio msg nimeikuta kwenye thread kama nne hivi za kisiasa muda sio mrefu
 
Chadema haiwezi kuingia kupata jimbo tena mkoa wa mwanza
Usiiongelee wilaya yenye Maprofesa zaidi ya 20 na madr wasiohesabika. Huwajui wakerewe kaa pembeni, hili ni kabila linalojitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…