CHADEMA yawasha moto Ukerewe

CHADEMA yawasha moto Ukerewe

Mfanyie kwenye hizo wilaya zingine.Ila mkileta ujinga wenu Mwanza city tutawapiga nawe!
 
[SUB]'TUMBUENI RUZUKU MWISHO MWISHO' Hii sentensi ni 'alert' na inafikirisha sana.... Embu walengwa toeni pamba masikioni.Ruzuku baada ya uchaguzi inaweza isitoshe hata kulipa pango pale........![/SUB]
 
Ubaguzi wa kijinsia wanini tena jf jamani ? tuchangie tu mada bila kuwafuatilia wanaozileta .
Mimi nasubiri tu kumwona "--- wa Kyela", kama nilivyomwona na kumpa heshima zote "Husna wa CHADEMA".

Nikiliona hili, roho yangu itakuwa imetulia na kujua kwamba mapambano yameanza rasmi.
 
Mimi nasubiri tu kumwona "--- wa Kyela", kama nilivyomwona na kumpa heshima zote "Husna wa CHADEMA".

Nikiliona hili, roho yangu itakuwa imetulia na kujua kwamba mapambano yameanza rasmi.
😆😆😆
 
Chadema nyie hatuwawezi kabisa ila mkurugenzi atakaye tangaza mpinzani kashinda anatekwa na kuuliwa kabisa haiwezekani huo ukurugenzi upewe na mwenyekiti wa ccm halafu umtangaze wa chadema kashinda
 
Mfanyie kwenye hizo wilaya zingine.Ila mkileta ujinga wenu Mwanza city tutawapiga nawe!
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu , Mwanza ndio sehemu ambayo Wamachinga wamefanyiwa unyama kuliko sehemu yoyote katika Tanzania , ni unyama kama ule wa soweto enzi zile , eneo kama hilo halijawahi kuwa ngome ya watawala
 
Mwanza wamachinga wamesambaa barabarani hadi kero wewe.Mkurugenzi majuzi kawavaa wakataka kumtwanga! Wanadai wameruhusiwa na Mh.Rais.
 
Back
Top Bottom