CHADEMA yawasha moto Ukerewe

Tumbueni ruzuku mwisho mwisho

Huna akili

Nakatwa kodi kwenye mshahara wangu kila mwezi..... millions.

Unadhani hiyo fedha inatoka ccm?

Usiwe mpumbavu, ruzuku ni kodi za watanzania wote
Wapinzani
Ccm
Wasio na vyama
Nk
 
Asante sana mkuu
Huna akili

Nakatwa kodi kwenye mshahara wangu kila mwezi..... millions.

Unadhani hiyo fedha inatoka ccm?

Usiwe mpumbavu, ruzuku ni kodi za watanzania wote
Wapinzani
Ccm
Wasio na vyama
Nk
 
Hahahahah! Hiyo picha ndo inaonesha kuwasha moto hahahahah!

Jipangeni
 
Wenzako wanaweka hata kapicha wewe mwenzetu unatia maneno matupu
 
Ccm ndo chama pekee kinachopewa nafas ya kuonekana kwa wananchi hadi hivi sasa hivyo n baki wewe ujiaminishe hivyo maana ndo chama unachokiona lakini utakapofika muda vyama vyote vipo huru kujinadi kwa wananchi utakapogundua hii taarifa yako ulikurupuka tu unapaswa ujaji mambo km uwanja wa mapambano upo sawa.
 
Kiukweli, ccm inalindwa na dola, wananchi wameichoka sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…