tupo pamoja ndugu zetu wa Moshi,TUENDELEZE HARAKATI HIZI ZA KUJIKOMBOA,mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie,na anayedhani haiwezekani basi ameshindwa kusoma alama za nyakati na asubiri kuchanganyikiwa kwa kutokukubali matokeo/mabadiliko,si tumejionea watu mara wang'oa vitasa,wengine wanatoa mapazia ili mradi tu ni kuchanganyikiwa ama kweli lilikua anguko lililo kuu.